Hivi ndivyo Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu alivyomuelisha Kada wa ccm Balile wa Jukwaa la Wahariri
Lissu amedai kwamba Watumishi wa Tanzania wanawajibika kwa Rais na wanaweza kutimuliwa kazi na Rais wakati wowote akitaka wala bila kufuata sheria za Utumishi wa umma , na mtumishi huyo hana pa...
Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Victor Makundi amekitaka Chama cha Wanasheria nchini, Tume ya maadili ya Mawakili na Mahakama kuu kutomfumbia macho mwanachama wao Tundu Lissu anayejaribu kuipoka Katiba ya nchi madaraka yake na...
Kulikuwa na hekaheka kila kona ya nchi. Mitaa ilikuwa hai usiku na mchana, watu wakijadili jambo moja—mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyokuwa yametokea. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa mpinzani, na chama kingine kilikuwa madarakani.
Siku hiyo...
Ikiwa imebaki miezi michache kipyenga cha uchaguzi kupulizwa viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani Geita wamepewa angalizo kuepuka makundi yanayoweza kusababisha mpasuko na badala yake kusimama pamoja.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Hellow Tanganyika!!
IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema,
Msalipo,semeni hivi:
BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe, "UFALME WAKO UJE", Mapenzi Yako yatimizwe hapa duniani kama huko Mbinguni...
Sasa wanasiasa ukiwagusa...
Bila Nguvu ya Dola na Mfumo, Watu Wengi wangejitokeza kupiga kura, na Kwa Jinsi mambo yalivyo, like Box la kupigia kula lingepewa Heshima inayo stahili.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
========================
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025
Hamis Lisu, mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ikungi, mkoani Singida, ameamua kutogombea ubunge wa jimbo la Singida Magharibi.
Uamuzi huo umetokana na kile alichosema kuwa mbunge wa sasa, Elibariki Kingu, ametekeleza vyema wajibu wake kama mwakilishi wa wananchi wa jimbo...
Wilaya ya Kilosa imeanzisha jitihada za kufufua uwanja wa ndege wa Tende uliopo katika wilaya hiyo mkoani Morogoro, ambao ulipoteza umaarufu wake kwa kipindi cha miaka 30 kutokana na miundombinu isiyofaa. Mkuu wa Wilaya, Shaka Hamdu Shaka, amesema kwamba Serikali imetayarisha mradi huu ili...
Baraza la Vijana la Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Kagera limewataka Vijana mkoani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba Mwaka huu 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Arusha limehimizwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi na kulinda raia na mali zao huku likikumbishwa kutambua kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo Jeshi hilo ndilo lenye dhamana ya kuhakikisha ulinzi na usalama wakati wote wa uchaguzi na baada ya uchaguzi...
Diwani wa kata ya Buzuruga ambae pia ni naibu Meya wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Manusura Sadick amefanyiwa dua maalum baada ya kutoka hospitali ya rufaa ya kanda ya Bugando alipokuwa anapatiwa matibabu ya majeraha aliyopata kutokana na kushambuliwa na kundi la vijana.
Diwani huyo...
Maafisa wa Maendeleo ya Jamii katika halmashauri za Mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuacha urasimu katika utoaji wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kuwawezesha wananchi kunufaika kwa wakati.
Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa...
Mkoa wa Arusha tayari umeanza shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha siku ya Wanawake duniani kinachotarajiwa kufanyika Machi 08, 2025 kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa na maonesho na shughuli...
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya kiuchumi.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Februari 28, 2025 katika Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga, wakati wa...
Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama, hali ya kua hazikuepo. Ni wazi ilikua chuki binafsi na uzushi wa kuwapaint baadhi ya watu ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.