John Heche amesema hakuna hata senti moja ya mchango itakayopotea kwani fedha hizo huwa zinakaguliwa hadi na CAG. Amesisitiza pia kuwa CHADEMA kuna uwazi hivyo watu waendelee kuchangia.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
Wakuu,
Msanii Mabodo Afrika akitoa burudani maalum kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya utoaji wa bima za afya kwa wananchi 9,000 wa Jiji la Mbeya.
Tukio hili linafanyika katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe.
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu...
Kawahi kuwa DC
Kawahi kuwa RC
Kawahi kuwa Mwenezi Taifa
Kawahi kuwa RC.
Hii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe.
Soma Pia: Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"
Fuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, huku akidai kuwa vyama vingine vina nia ya kutafuta madaraka pekee.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Baadhi ya wananchi vijana wameungana na madiwani wa Arusha Mjini kumtaka Paul Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuchukua hatua ya kugombe nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha Mjini
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Kijana mzalendo David Nkindikwa amepinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya Mwenyekiti wake ngazi ya taifa Tundu Lissu kuhusu msimamo wa "No Reform, No Election", inayoashiria kuwa hakutakuwa na uchaguzi bila mageuzi ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kuwa...
"Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa...
"Hakuna chama ambacho nafasi ya mwenyekiti ina ukomo, tofauti yetu sisi na CCM, wao wamejiwekea kwa sababu Mwenyekiti wao ndiye mgombea. Wao wameunganisha nafasi ya chama kwenye nafasi ya nchi" Esther Bulaya, Mbunge viti maalum
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani Makete kuacha tabia hiyo kwa kuwa kila chama kipo kwa mujibu wa sheria.
Naona CCM mnakimbizia ajenda kwenye vyombo vya dola , hebu acheni hofu , mnakidhalilisha chama , kwamba chama hakina watu wa kujibu hoja ila ni kwa mitutu ya bunduki?
Kwa ukubwa wa chama chenu haipendezi kutegemea dola kuwajibia hoja kwa shuruti ,msikiaibishe chama jibuni hoja kwa ufasaha maana...
Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora ili kusaidia masuala ya kifedha ya nchi za Kiafrika.
Rais Samia amesema wazo hilo likichukuliwa...
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Mbunge wa Jimbo la Madaba Mkoani Ruvuma, Dkt.Joseph Kizito Mhagama, ametembelea kata ya Mkongotema kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika eneo hilo.
Ziara hiyo imewapa wananchi nafasi ya kueleza mafanikio yaliyopatikana kupitia utekelezaji wa miradi hiyo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kutoa uchaguzi ulio huru na wa haki kwa kila chama badala yake imejimilikisha uchaguzi huo na kuona wengine hawafai kuongoza.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu, hususan katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, ili kudumisha amani ya taifa. Aidha, wameeleza kuwa hawaungi mkono wanasiasa wenye kauli za vitisho na zinazoweza kusababisha...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho kimefanya mabadiliko ya kuongeza wajumbe katika Mikutano Mikuu ya Kata na Mikutano Mikuu ya Wilaya ili kupunguza mianya ya rushwa iliyokuwa ikifanywa na watia nia ili kupitishwa na chama kugombea udiwani na ubunge...
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Temeke wamepongeza na kuridhishwa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali kwa Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika uboreshaji wa huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.