kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa

    Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya kwanza. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Gagi Lala wakati akizungumza...
  2. The Watchman

    Pre GE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za uzazi mama na mtoto na kuwa katika muonekano mpya. Kauli hiyo...
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Eric Shigongo: Miaka mitatu ya Rais Samia Buchosa imeendelea sana

    "Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge nimepokea bilioni 63 za maendeleo, tumejenga barabara, tumejenga vituo vya afya vitano tumejenga sekondari...
  4. The Watchman

    Pre GE2025 Eric Shigongo: Tanzania ni nchi tajiri siyo sawa wananchi wake kuwa masikini

    "Tanzania ni nchi tajiri sana,Tanzania kwa gesi asilia duniani ni nchi ya 82, Tanzania duniani kwa makaa ya mawe ni nchi ya 50 kwa dhahabu ni nchi ya 22, kwa almasi ni nchi ya 10 kwa helium gesi ni nchi ya kwanza kwa madini ya Tanzanite, ni nchi ya kwanza kwa utalii ni nchi ya pili inaifuata...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 ADC yajipanga kuwang’oa madarakani CCM, waeleza kuhusu 'No Reform, No Election' ya Chadema

    "Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Itutu ametoa kauli hiyo, baada ya Mwenyekiti wa Chama cha...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa

    Wakuu Mnakumbuka sakata la CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee? Mapya yaibuka huko, panga limepita kwenye Chama == Katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, kumekuwa na sintofahamu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo baadhi ya viongozi wa matawi na kata wamedai kusimamishwa...
  7. Waufukweni

    Asenga: Mimi ni Mbunge lakini navaa mkanda wa elfu 3, kiatu changu hakizidi elfu 20

    Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema; "Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa suti ya aina moja kwa miaka mitano, mkanda wangu nimevaa wa plastiki wa elfu 3 na kiatu changu hakizidi...
  8. T

    Pre GE2025 Mbunge Philip Mulugo adai ukiona mbunge analalamika basi ujue huyo haudhurii vikao vya madiwani

    Adai yeye ni muhudhuriaji mzuri wa baraza la madiwani hata kama kutakuwa na vikao vya bunge yeye lazima ataenda kwenye vikao vya madiwani na wale wabunge wanaolalamika huwa hawaendi kwenye vikao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  9. Lord denning

    Pre GE2025 Majibu kwa Wasirra na Makalla: Sehemu pekee iliyopaswa kutuonyesha Marekebisho ya Sheria mlizofanya hazikuwa hadaa ni Uchaguzi wa Novemba 2024

    Katika kuendelea kuwafanya Watanzania ni wajinga na watu wasiojua chochote, nimewasikia Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira na Mwenezi wao Amos Makalla wakidai kuwa, yalishafanyika mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi hivyo hoja ya No Reform No Election haina mashiko. Wassira na Makalla...
  10. Gabeji

    Wana ccm wamelishwa unga wa ndele 2025

    Mkuu wa giningi amefanikiwa katika adhima yake kuu, ya kuelekea malengo makuu. Alikuwa na njaa kwa mda mrefu na hakujua kuwa ipo siku atakuja kula chakula kile kizuri ambacho kila mtu anatamani kula, ghafla bini vuuuu! akakuta chakula kile kizuri Dunia mzima kipo mezani. kina msubili...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 John Heche: CCM haitaki uchaguzi, Makalla akisema 'hatujajiandaa' aulizwe kwa nini wanaengua wagombea

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche John Heche amesema chama hicho kimejiandaa kushiriki uchaguzi mwaka huu hivyo kikisema 'no reform no election' isitafsiriwe kama hawakujiandaa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Viongozi wa dini msiwaombee wezi wa uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili nao wawe sehemu ya mabadiliko ya kisiasa nchini ikiwamo mfumo wa uchaguzi. Kupata matukio na taarifa...
  13. Waufukweni

    Pre GE2025 Tanga wafanya matembezi maalum barabarani ya kumpokea Rais Samia

    Wananchi wa Jiji la Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha, Katibu Tawala wa Tanga, Dalmia Mikaya na Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kumpokea Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
  14. upupu255

    Pre GE2025 Video: Wananchi wakishindana kula Mikate kwenye Kitila Jimbo Cup

    Wakuu Hivi wananchi wanarogwa na nani? kwanini haya mambo hufanyika kipindi cha wagombea wakiwa wanataka kurudi tena Bungeni na hatustukii hili kama ni kulaghaiwa tu! == Washiriki wa shindano la Kitila Jimbo Cup wakishindana kula mikate kwenye moja ya mchezo inayochezwa leo Feb 22.2025 kwenye...
  15. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM wasikiliza kero za Wananchi Babati. Ally Hapi atoa elfu 50 kwa mstaafu wa jeshi tangu mwaka 1994 ambaye anadai mafao mpaka leo

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali kutotenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Akizungumza na wananchi wa Babati Mjini...
  16. J

    Pre GE2025 Heche amtembelea muasisi wa Chadema, Mzee Ewdin Mtei

    Muasisi wa Chadema mh Mtei ameupongeza Uongozi mpya wa Chadema Chini ya Tundu Lisu na John Heche Mtei amesema hayo Wakati wa mazungumzo yake na makamu Mwenyekiti wa Chadema mh John Heche na Viongozi Wengine Mzee Mtei amesisitiza hii ndio Chadema iliyo moyoni mwake na ana Imani kubwa na Tundu...
  17. M

    Pre GE2025 Barua ya Wazi kwa Othman Masoud Othman makanu wa kwanza wa Rais ZNZ na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Lisaidie Taifa kupata katiba mpya

    Ndugu Othman Masoud Othman Assalam aleikum. Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi kwa manufaa ya Nchi nzima na Zanzibar kiujumla. Ndugu Othman Masoud, bila shaka unatambua kuwa...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 PICHA: Machawa wa ankali (Dkt. Mwinyi) na Generation Samia (GEN S) washirikiana kuandaa Pilau Day Zanzibar

    Wakuu Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo zao == Vijana wa ankali (Dkt. Mwinyi) kwa kushirikiana na Generation Samia (GEN S) Washirikiana...
  19. T

    Pre GE2025 Heche: CCM wanaishi kwa kuviziana hawawezi kufanya uchaguzi kama wa Chadema

    "Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema...
  20. Cute Wife

    Pre GE2025 CCM kutangaza utaratibu mpya ubunge viti maalum. Hoja za Lissu zimeanza kuwaingia?

    Wakuu, Lissu hapa majuzi aliuliza imekuwaje CCM ina wabunge 6 zaidi huku chadema ikiwa na 1 kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalum, lakini pia Lissu huyu huyu alisema wabunge wa viti maalum wawe wanapewa muhula mmoja, akisema huo unatosha kufanya mtu ajipange na kujijenga kuwania nafasi hiyo...
Back
Top Bottom