Wakuu
Vijana Wachoma Nyama Mbande Mkoani Dodoma wapaza Sauti kwa Rais Samia na Kumwomba Siku Moja apite Mbanda wanapochoma Nyama awashike Mkono kwa kile wanachokifanya, Vile vile pia wametambua Mchango wa Serikali kwenye Miradi yote iliyofanyika, Na pia Wameomba Wapatiwe Bendera za Chama Cha...
Baraza kuu la UWT Wilaya ya Same lampongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumtunuku cheti Cha Pongezi kwa kazi nzuri anazofanya kwa wanachi huku wakimpongeza kwa kuteuliwa Kuwa Mgombea Pekee wa Nafasi ya Urais na kumuahadi kuendelea kusema Yale mazuri yote aliyofanya ndani ya kipindi...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amelishauri Shirika la Reli Tanzania (TRC) kushughulikia changamoto zilizojitokeza katika ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam–Dodoma ili zisijirudie katika ujenzi wa kipande cha Mwanza–Isaka.
Prof. Mbarawa ametoa ushauri huo alipokuwa Malampaka, mkoani...
Serikali kupitia uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua za kuboresha miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Esso - Long’dong mkoani Arusha, yenye urefu wa kilomita 1.8 unaanza hivi karibuni. Barabara hii inayounganisha...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
Wakuu
Chawa wa Rais Samia, maarufu Mwijaku ameungana na baadhi ya Wananchi wa Muheza kupiga deki barabara akidai ni ishara ya upendo kwa Rais
Soma, Pia: DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia
Huu uchawa asee yajayo yanafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja.
====
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Nusrat Hanje ameandaa Maombi na Dua Maalum ya Viongozi wa Dini na Wazee kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Tukio hilo linafanyika...
Ziara ya kusikiliza na kutatua changamoto za walimu nchini (Samia Teachers Mobile Clinic) inayoratibiwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kushirikiana na serikali inatarajia kuwasili mkoani Geita Februari 25, 2025 na kumalizika tarehe 26 Februari ambapo lengo ni kusikiliza changamoto mbalimbali...
HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia
====
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu...
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?
====
Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi...
Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro pamoja na uongozi wa CCM Wilaya na kata pamoja na MH.BURINDORI diwani wa Kibogora wameshiriki zoezi la kuwashwa Kwa Mnara katika Kijiji Cha Mururama kata ya Kibogora wilayani NGARA.
Uwashwaji wa mnara huo unahitimisha ahadi aliyoitoa MH.RUHORO...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Halima White Zuberi amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu mamlaka yapo kwa wananchi kwakuwa watachagua viongozi bora wanaowataka.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limelaani na kukemea matukio ya watu kutekwa yanayoendelea kujitokeza nchini.
Akitoa kauli hiyo, tarehe 19 Februari 2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Kanda, Fred Michael akiwa kwenye kikao cha baraza hilo Jimbo...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka Wanakilindi na Wanatanga kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, anayetarajia kuanza ziara mkoani hapa tarehe 23 Februari, 2025.
Akizungumza katika ziara yake...
Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
CCM mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani. Mitano tena ni kwa Rais Samia Suluhu tu kwa madiwa na wabunge mwendo wa ngiri mkia juu. Hayo yamesemwa na Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo kwenye maeneo yao na kupitia kampeni zenye nia ya kuchafuana, hivyo amewataka waache mara moja kwani...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo kwenye maeneo yao na kupitia kampeni zenye nia ya kuchafuana, hivyo amewataka waache mara moja kwani...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Halima Mamuya amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa na mpinzani katika uchaguzi mkuu wa 2025 kwa sababu licha ya kwamba ni Rais lakini pia ni Mama mlezi wa Taifa.
Amesema...
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza hasa katika wilaya ya Ilemela na Nyamagana.
Akizungumza na waandishi wa habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.