Wakuu,
Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:
“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja, uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na...
Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo,
Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
"Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na...
Tume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano.
(1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye fomu yake ya kugombea.
(2) Iachane na vyombo vya usalama vinavyotumia nguvu kubwa.
(3) Iachane na...
Katibu Mtendaji Baraza la Michezo Tanzani (BMT) Neema Msitha ameyazungumza hayo leo jijini Dodoma katika mkutano wa waandishi wa habari akieleza mafanikio na muelekeo kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dar es salaam Edward Mpogoloe amesema kampeni ya ‘Hala Bi Mkubwa” iliyoanzishwa na Mtangazaji Barton Mwemba maarufu Mwijaku itasaidia kunadi kazi nzuri zilizofanywa chini ya Uongozi wa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika uzinduzi...
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30.
Ameeleza pia makovu hayakosekani itatuchukua muda lakini majeraha yote yatapoa na kuisha kabisa
Kupata taarifa...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameonyesha ukarimu kwa kuwalipia mashabiki wa Klabu ya Mbeya City tiketi 1000, ili kuipa nguvu katika mechi dhidi ya African Sports. Mchezo huo wa Ligi ya Championship ya NBC ulipigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Jumatatu, Februari 17, 2025, kuanzia saa...
"Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimevunja mwiko wa kisiasa kudhani Pemba ni mateka wa upinzani na kwamba wanaweza kufanya watakavyo kwa kuendesha siasa za kufikirika.
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Khamis Mbeto Khamis, ameeleza hayo kufuatia wanachama zaidi ya...
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewatoa hofu vijana ambao wanataka kuwania nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kuwa wakae tayari kuwani nafasi hizo kwakuwa ajenda ya Mitano Tena ni kwa Mgombea wa Urais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini imezindua kamati maalumu ya ushauri wa kisheria na kliniki ya sheria bila malipo mkoani Mwanza ikiwa ni hatua ya serikali ya kutatua migogoro ya kisheria inayosababisha baadhi ya wananchi kuishtaki Serikali.
Akizungumza jijini Mwanza Mkaguzi wa...
RAIS MWINYI:UVCCM ENDELEENI KUHAMASISHA VIJANA CCM ISHINDE NA KUSHIKA DOLA.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza kasi ya uhamasishaji uandikishaji wa...
Hao vijana wenyewe wanaopewa ushauri huu ndiyo kwanza wako busy na uchawa
===
Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba mabegi ya wagombea badala yake wagombee nafasi mbalimbali.
Msingi wa hoja hiyo iliyotolewa leo...
Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza.
Ameandika Martin Maranja Masese
Amani Manengelo ni kiongozi wa vijana wa CHADEMA mkoa wa Mwanza. Katibu wa BAVICHA Mkoa - Mwanza.
Nimepata habari za kutekwa na...
Tunaikaribia Nigeria. Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu ndani na nje ya mipaka. Jina hilo lilijengwa kwa gharama kubwa na waasisi wa taifa letu. Popote ulipojitambulisha ni Mtanzania, watu waliinama kwa heshima kubwa...
"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko...
Wakuu,
CHADEMA imeamsha matumaini ya Watanzania hasa baada ya Lissu kupiga krosi moja matata na kuwa Mwenyekiti Taifa. Watanzania walioonesha kuchoshwa na uchawa, ubadhilifu wa mali za umma na mazonge mengine yanayotokea nchini wameanza kupata matumaini huenda mambo yatabadilika for good...
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) tarehe 16 Februari, 2025 iliandaa Mahafali ya Tatu (3) ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu kidato cha Nne (4) wa Skuli ya Hasnuu Makame ambao walipata Division 1 kwa wanafunzi 51 na Division 2 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.