Sasa hivi tutawaona sana vijiweni, kwa mama ntilie, kwenye bodaboda, kwenye michezo hasa ligi za kisiasa( diwani / mbunge cup) nk
PIA SOMA
- LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Binafsi ukiniuliza swala la kuoa nitakuambia lazima nioe ahijarishi kuna changamoto au lah, ingawa sio kwa sasa. Unakuta unaongea na watu tofauti tofauti, unakuta huyu anasema "oa mwanamke usiyempenda",
Mwingine anasema "usiangalie sura angalia tabia", Mwingine anasema "oa mwanamke mpambanaji"...
Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje.
Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
Nimekua nikifuatilia taarifa mbalimbali za uchaguzi wa Serikali za mitaa tangu uandikishwaji wa wapiga kura hadi kufikia sasa wakati wa wagombea kuteuliwa.
1. Wakati wa uandikishaji yalikuwepo malalamiko kutoka vyama vya upinzani kwamba kuna wanafunzi wa shule za secondary na msingi...
Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha.
Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road.
Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika...
Mambo vipi Wakuu!
Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza...
"Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo).
Mnaweza kusema...
UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS
For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below:
Understanding the Aptitude Test and Its Role in Teacher Interviews 2024 and Other Fields:👇👇👇👇👇👇👇...
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Lissu amewataka Watia nia...
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Mkoa wa Pwani
Historia ya mkoa wa Pwani
Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa...
Napenda siasa napenda democracy japo sidhani kama ni democracy.
Napenda siasa yenye mrengo wa kiuchumi na kiusalama wa Taifa.
Nimeona mabadiliko ktk serikali ya Japan nikatamani taifa langu lipate Kiongozi mwenye mirengo inafanana na Japan hasa ukizingatia dunia kwa sasa siasa ni usalama wa...
Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000.
Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida...
Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda.
Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii.
Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA kumaliza kuzungumza na wanahabari Septemba 17...
Utangulizi
Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,
Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.