kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Last_Born

    SoC04 Teknolojia na Ubunifu: Kuongoza Mabadiliko kuelekea Tanzania ya Kidijitali

    Teknolojia ina jukumu muhimu katika kuendesha maendeleo ya kisasa na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inapaswa kulenga katika kukuza matumizi ya teknolojia na kukuza ubunifu kwa lengo la kujenga uchumi wa kidijitali na jamii inayotumia teknolojia...
  2. Allen Kilewella

    Pre GE2025 Chama Gani kina sera za kueleweka kuelekea 2024/2025

    Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu. Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais. Hivi mpaka...
  3. J

    SoC04 Kuifikia Tanzania Tuitakayo: Matatu ya Kuweka Kipaumbele kwa kuelekea Tanzania Yenye afya njema

    Kumekuwa na kasi ya ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kulingana na tafiti za shirika la afya duniani (WHO) takriban asilimia 74 ya vifo vyote duniani vinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza nah uku magonjwa kama vile kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya figo na magonjwa ya moyo...
  4. S

    Aina Nne za Utajiri: Njia ya Kuelekea Maisha Yenye Mafanikio

    Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri. Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi wetu kwa ujumla. Leo, tutazungumzia aina nne za utajiri: Kifedha, Kijamii, Muda, na Kimwili, na tuone...
  5. JOHNGERVAS

    Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
  6. Mama Mwana

    SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  7. E

    SoC04 "KULETA MAPINDUZI YA DIJITALI: Safari ya Tanzania kuelekea Mawasiliano ya Ufanisi

    Kukuza Sekta ya Habari na Mawasiliano kwa Tanzania Ijayo Sekta ya habari na mawasiliano ina jukumu muhimu katika maendeleo ya jamii, uchumi, na demokrasia katika Tanzania. Kwa kuangazia mabadiliko na fursa zinazoendana na zama za dijitali, hapa chini tunajadili hatua muhimu zinazoweza...
  8. S

    SoC04 Taswira mpya ya Tanzania kuelekea 2030, katika nyanja tofauti tofauti za kimaendeleo

    Dira ya Tanzania Tuitakayo: Kukumbatia Mustakabali Tanzania inapokaribia enzi mpya, ni muhimu kuweka dira inayotupeleka kwenye mustakabali wa ustawi na endelevu. "Tanzania Tuitakayo" inajumuisha matarajio ya pamoja na mikakati inayoweza kutekelezeka ambayo inaweza kuubadilisha taifa letu katika...
  9. X

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuelekea Maono ya Mabadiliko Chanya

    Utangulizi, Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, utamaduni na watu wenye bidii, inahitaji mabadiliko ya kimkakati ili kufikia mustakabali bora kwa vizazi vijavyo. Ni wakati wa kuhamasisha wananchi kuibua mawazo mbadala na bunifu yatakayosaidia kujenga Tanzania tunayoitaka. Andiko...
  10. More Chances

    Pre GE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

    Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke. Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake. Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu...
  11. BigTall

    FCS, Vodacom Foundation wasaini makubaliano kuelekea Wiki ya Azaki

    Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundation wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni udhamini wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Septemba 9 hadi 13, 2024. Akizungumza katika...
  12. K

    Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 nini kifanyike ili uchaguzi uwe huru na wa haki

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha. (2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
  13. Mkalukungone mwamba

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

    Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
  14. Not_James_bond

    Kubadili Bajaji kwenda Mabasi katika Jiji la Mbeya: Njia Mpya ya Kuelekea Usafiri Bora

    Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
  15. peno hasegawa

    Pre GE2025 Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

    Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
  16. P

    SoC04 Bahari ya maarifa: Safari ya Prince kuelekea Tanzania tuitakayo katika maendeleo ya tasnia ya habari na mawasiliano

    Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
  17. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025: Hizi ni Katiba mbali mbali za vyama

    Kazi kwenu wananchi na watia nia
  18. Lycaon pictus

    Ungekuwa kwenye situation ya Mdee, Bulaya et al, ungechangaje karata zako kuelekea uchaguzi wa 2025.

    Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
  19. B

    Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

    1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa. HAMAS wayakataa mapumziko...
  20. B

    Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

    1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi. 2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa. 3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
Back
Top Bottom