Watanzania ni washenzi, nianze kwa kusema hivyo. Tumekabidhi hii nchi mikononi mwa CCM na tumeacha itupeleke kama inavyotaka na hatutaki kuhoji.
Wakati wa uchafuzi mkuu wa 2020 mzee wangu alikuwa anashangilia kwamba wameshinda majimbo yote. Mimi nilimsikiliza tu nikaishia kumsikitikia. Mzee...
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linamshikilia Mohamed Mwanjali mkazi wa Mtaa wa Kitanzini kwa tuhuma za kumbaka Mama mjamzito na kumsababishia umauti.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni Kata ya Kitanzini Yassin Kisogole amesema Mwanamke huyo alitendewa ukatili huo usiku wa kuamkia September 25,2022...
Marekani imeandaa $1b kwa ajili ya silaha za kuendelea kuwahami Ukraine ili watetee ardhi yao dhidi ya wanywa gongo wa Urusi wanaolazimishwa kwenda kufia Ukraine, baada ya jeshi rasmi kushindwa na kukimbia mapigano.....
WASHINGTON (AP) — The U.S. will provide an additional $1.1 billion in aid...
Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao.
=========
The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to...
Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi,mwandani na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini humo amewaambia makuruta watize wajibu wao na wasiogope kufa kwani hata wakifa wataenda kupumzika mbinguni.
My take:
Kiongozi huyu anajua hawatarudi urusi,ndio basi tena himars zinaenda kuwafyeka.Putin...
Raia wa Iran wamechoka na sheria za kidini za kumzuia mwanamke asionekane nywele, hii ni baada ya mdada mmoja kuuawa kisa kaonyesha sehemu ndogo tu ya nywele zake.
Japo Waajemi au Persians wana akili, IQ zao huwa zimewazidi Waarabu na ndio maana wamefikia mpaka kwenye hatua za kutaka...
Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake.
Akifungua mkutano wa siku tano wa kikanda wa kuwajengea uwezo kuhusu...
Moja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya!
Ni vipi unamuuliza hali ya afya yake mtu ambaye hata kupata mlo mmoja kwa siku hana uhakika!
Bahati mbaya...
Pamoja na kupanda kwa gharama za maisha, bado tunashuhudia ongezeko kubwa la kodi kila siku. Maneno ya viongozi yamekuwa yaleyale kila siku, hakuna matumani, jahazi linataka kuzama.
Sisi wananchi wa kawaida ni kama watu tuliotoswa baharini ingali hatujui kuogelea. Tumepokwa hata maboya tunayo...
Jana usiku wamepost picha zao wenyewe kwa raha zao kuhusu mazoezi yao wakijandaa na geita gold kuna raia wamehudhuria na kwenye hizo picha kuna mmoja kabisa anarekodi.
Kabla wale wa comment za OYAA ACHA MAMBO YA KISHAMBA NA KIZAMANI hawajaanza embu soma alichowahi kuandika aliyekuwa katibu na...
Watu wanapoteza maisha, na kila siku tunawalilia. Hata hivyo tusichojua ni kwamba baadhi yao, hasa vijana, wanaweza kuwa wamechangia vifo vyao kabla ya wakati wao kwa kujihusisha na tabia fulani ambazo ni hatari kwa maisha yao ya kibinadamu. Baadhi yao hata hawatambui kwamba vitendo au tabia...
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.
Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao.
Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika.
Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu.
Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
Kwema Wadau!
Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi.
Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo...
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa.
Ntaanza na hizi chache...
1.Biashara ya...
Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea.
WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha.
Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga...
Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo.
Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali...
Wakuu habarini za majukumu?
Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa stend ya mabasi ya kwenda mkoa baada ya basi nililokuwa ninalisubiria kuchelewa kufika na hivyo nikajikuta nazoeana na baadhi ya abiria niliokuwa...
Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...