kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Championship

    Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

    Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake. Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa. Mtume Petro naye alikumbusha kuombea...
  2. BigTall

    Musoma: Baba na mwana wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mahakamani Kuu Kanda ya Musoma kupitia Mahakama ya Wilaya Tarime Mkoani Mara imewahukumu baba na mtoto wake wa Kijiji cha Genkuru kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji. Waliohukumiwa ni Matinde Keranganyi (baba) na Mwita Matinde (mtoto) ambao walishtakiwa kwa kumpiga mawe...
  3. Deejay nasmile

    Siku nikifa au ukifa nani atawajulisha watu humu JF

    nimewaza na kujiuliza sana.... Nani atatangaza/kujulisha kuhusu kifo CHANGU/CHAKO humu jamvini... Au ndo mtaenda na CODE
  4. Chendembe

    Bodaboda vs Polisi: Sikio la kufa halisikii dawa

    Malalamiko ya wamiliki wa bodaboda/pikipiki yamezoeleka masikioni mwetu na kupelekea hali inayoendelea Sasa hata JamiiForums kuona hakuna sababu ya kuliongelea tena. Mimi nimeona nisichoke katika hili. Wabunge ni walewale, viongozi ni walele na Sheria ni zilezile. Najiuliza shangwe zile za...
  5. Codeboy Breezy

    Timu hizi zinaenda kufa

    Naanza kwa masikitiko ya kinachoendelea katika timu hizi nikiona dalili ya kufa kwa hizi timu kutokana na kupoteza wachezaji wengi sana pasi na kufanya usajili mpaka sasa 1. Chelsea Timu hii tayari wachezaji kadhaa wahaondoka ikiwemo Antonio Rudiger na Andreas Christensen na huku rumors...
  6. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  7. Mawematatu

    Wenyeviti wengine sikio la kufa. Wiki imekwisha hata kuitisha vikao vya ulinzi shirikishi wamegoma

    Serikali inafanya kazi yake, watendaji wanatushangaza Sana. Alianza Mh Rais akasema waache. Wakavamia kunduchi. Lahaullah! Mkuu wa mkoa ametangaza jeshi la police likawataka wakuu wa vituo na wananchi washirikiane, Cha ajabu Kuna mitaa imekaa kimya. Kwa mtaa nilipo mie hata wakija Leo...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Sitakula kwa mama nitilie labda nione nataka kufa na hakuna namna nyingine

    Hi! Naweza nikaonekana nakufuru au naringa. Hapana, huo ni msimamo wangu tu kama wewe msomaji ulivyojiapiza kwenye baadhi ya mambo. Mimi sili kwa mama nitilie.
  9. K

    Nimenusurika kufa usiku huu na ajali

    Jamani ajali haina kinga, Gari aina ya canter Limekuja kugonga chumbani kwangu, baada ya kufeli breki. Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu, likajaa wanguwangu mpaka chumbani. Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana, tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia, kwenye...
  10. I

    Asante mama kwa Sasa private sector iko strong kabisa

    Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu. Sasa hivi kila Kona Kuna fursa kiasi ambacho watu hawaoni tena umaana wa kuajiriwa serikalini tofauti...
  11. Y

    MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

    Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
  12. JanguKamaJangu

    Mama mzazi amzika mwanaye usiku wa manane baada ya mtoto kufa kwa njaa

    Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru Mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha mama yake mzazi kumzika kimyakimya usiku wa manane. Mtoto huyo anadaiwa kuzikwa na mama yake mzazi aitwaye Rebecca Siowi (30) usiku wa kuamkia Aprili 22, 2022...
  13. Njowepo

    Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

    Ili shamba lina zaidi ya miaka 45 na mpaka reli ilijengwa kwenda maeneo yale. Tungekuwa tumeliendeleza huu uhaba wa ngano sasa ingwekuwa kuna ahaueni. Nadhani ni mda muafaka wadau sector binafasi kwa kushiriana na serikali kufufua kilimo cha Ngano aya maeneo. Pata habari kamili kuhusu ili...
  14. The Assassin

    Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

    Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma. Habari zaidi zinafuata. AJALI YA BASI LA GEITA...
  15. GENTAMYCINE

    Mnaposema Vijana Wajiajiri na hamtoi Elimu wala hamuwadhibiti ipasavyo mnategemea nini? Watavunjika na Watakufa sana tu

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amesema kumekuwa na ongezeko la ajali za bodaboda, hali iliyosababisha ongezeko la wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), hivyo kuigharimu sekta ya afya. Amesema jumla ya wagonjwa wa ajali za bodaboda 10 hadi 15 kila siku hufikishwa MOI, huku kwa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

    NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA? Anaandika, Robert Heriel Yule Mtibeli. Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache. Nani atakuwa wa kwanza...
  17. M

    Samaki kufa kwa kinyesi na mkojo wa ng'ombe inawezekana ,lakini samaki wa mto mara wamekufa kwa sababu hiyo?

    Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana. Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
  18. 666 chata

    Namna nilivyonusurika kufa kwenye ajali ya gari, Bongo unakufa huku unajiona

    Kwema wadau? Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
  19. C

    Kufa kufaana: Biashara ya majenereta na solar yapamba moto Mwanza

    Ni kutokana na mgao wa kimyakimya unaoendelea kwa kishindo jijini mwanza,wanyonge wananunua solar na generators kwa kasi kabisa Wafanyabiashara wa bidhaa hizo wengi wanaishukuru awamu ya sitaa kwa opportunity hiyo na wameahidi kulipa Kodi kwa kutoa risiti halali
  20. S

    Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo. Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
Back
Top Bottom