Aisee saa hizi Maulid Maulid amempiga mwenzake teke, jamaa kalala kwa zaidi ya dk 2, ameamka hajielewi kabisa hata wakati mshindi anatangazwa jamaa alishindwa kusimama.
Hii ni ligi nzuri napenda kuiangalia kwenye Vitasa plus, lakini nimeshangazwa hakuna Watu wa huduma ya kwanza uwanjani, maana...