kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwongozo mwenye kufahamu soko la ruby (gemstone)

    Habarini za mchana wanaJF! Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa soko la uhakika la ruby Tanzania.
  2. Mambo muhimu ya kufahamu unapojiandaa kubeba Ujauzito

    Vipimo na tafiti muhimu kufanya kabla ya kupata ujauzito Ikiwa umeamua kufanya vipimo vya awali kabla ya kupata ujauzito, mtaalamu wako wa afya au nesi anaweza kukuliza kuhusu: Kazi yako-atakuuliza kama kazi yako inahusisha kufanya kazi na vitu hatari Kama una tatizo na siku zako za hedhi Hali...
  3. Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

    Wakuu naomba kujua bei ya hii pikipiki ikiwa bado mpya kabsa kwa hapa Tanzania naipenda kuliko hata gari
  4. Mwenye kufahamu majina ya hawa samaki wa ziwa Tanganyika naomba anisaidie

  5. Natafuta kazi kiwandani

    Habari yako, Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua. Asante sana.
  6. Naomba kufahamu hotel nzuri Mwanza

    Nataka kwenda Mwanza for personal issues. Naomba kufahamu the best hotel, located at the beach front na ambayo ina big rooms, madirisha makubwa facing the beach. Price siyo tatizo. Umbali kwenda mjini au airport siyo tatizo pia. Shukrani sana.
  7. Naomba kufahamu kuhusu ARV

    Naomba kufahamishwa kwamba ni kweli mgonjwa akisha anza kutumia ARV hawezi kuambukiza ugonjwa?? Kuna jamaa hapa mtaani kaathirika ila anatumia ARV kwa muda na ukimuona afya yake iko imara. Shida huyu jamaa anatembea na watoto wadogo wadogo ila nasikia kwamba sababu anatumia ARV basi hawezi...
  8. Masters zenye soko kwa mtu mwenye BAEd ni zipi?

    Naomba kufahamu kwa mwenye BAEd ni masters degree gani zinafaa zaidi ili kwenda na soko la ajira? GPA 3.5
  9. Naomba kufahamu dawa ya kuzuia NDEVU kuota haraka

    Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa. Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema muisrael. Kwa yeyote anaye fahamu dawa ya kuzuia ndevu kuota kwa haraka ama kuzuia zisiote kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…