Wakuu hivi kisheria imekaaje tupo mahakamani hapa wanandugu ila sasa cha ajabu faili wanasema limepotea halionekan so ina maana shauri limekwama. Je tufanyeje au lawyer yupi mzuri kwa hapa mitunduruni
Ningekuwa mpinzania ningeishinda CCM mapema asubuhi.nachukua ilani ya CCM nawaponda nayo.
Mtu uneahidi kufanya jambo kwa miaka mitano na hujafanya.sasa hapo nikikuambua kuwa wewe ni mwongo,mwizi wa kura kwa kuahidi uongo nk nitakuwa nimekuonea?
Wambieni wananchi kuwa CCM niwaongo maana kwenye...
Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara.
Mara nyingi, ardhi ya urithi...
Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza.
Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake.
Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...
Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa.
Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100 ya nyoka ambapo muathiriwa huhitaji matibabu
Nini cha kufanya ukiumwa na nyoka ili kuokoa maisha...
Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus.
Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa.
USSR
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Oktoba 10.2024, Dar es Salaam amesema kuwa mawakala wanalazimishwa kufika kwenye ofisi za Halmashauri husika ili kuapa suala ambalo wengi hushindwa kutokana na umbali uliopo kati ya Halmashauri na maeneo wanayotoka...
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu.
Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
KAMUSI
"Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri na ndio waliobeba maono ya Taifa kwa sasa na siku zijazo" - Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Asante Mama kwa imani hii kwetu vijana, hakika...
Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa zaidi ya Tsh. Trilioni 60 kutokana na kudaiwa kufanya Udanganyifu kwenye masuala ya Hisa na Masuala ya...
Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina,
Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability
Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5%
Utachelewa sana
Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi .
Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo .
Kama kuna watu...
Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani.
Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
Shirika la habari la Marekani, CNN, limeripoti kuwa wakati waandishi wake wakiwa wanajaribu kupata mahojiano na mke wa rais wa zamani wa Marekani, Melania Trump, team ya Melania Trump ambao wanahusika na uchapishaji wa kitabu chake kipya ilijibu ilitaka kiasi cha dola 250,000, zaidi ya shilingi...
Jamani naomba kuuliza juu ya chuo Cha CBE Dodoma ni kizuri Kwa mandhari na vp kuhusu elimu au taaluma inayotolewa pia nishaurini chochote juu ya chuo hiko, manake nimechaguliwa IT CBE Dodoma, na Marketing CBE DAR
Niende wapi?
Habari ya muda huu,
Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview.
Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza.
Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.