kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Kufanya mapenzi na mwanafunzi sio kosa kisheria, bali inahesabika kama kubaka

    Wakuu, Baadhi ya wadau wa sheria wamekiri kuwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi halipo kisheria bali neno kubaka ndilo linalotambulika. Wameyasema hayo baada ya hukumu ya hivi karibuni ya MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba kuamua kuwa kufanya mapenzi na mwanafunzi siyo kosa...
  2. Tlaatlaah

    Sasa kama wewe ni Mtakatifu unaenda kufanya nini kwenye mikesha ya Maombi na Maombezi?

    Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume! Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na...
  3. X

    Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  4. Makonde plateu

    CCM wangejua ya kwamba kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na kuwatendea vibaya CHADEMA wasingethubutu kufanya haya

    Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo mnavyozidi CCM kujichimbia kaburi lenu hivi mnavyoitesa na kuwatesa wapinzani ndivyo wapinzani...
  5. Shuku_

    WANAWAKE wa BONGO, wengi wanaongoza kwa kufanya biashara zisizo kuwa na TIJA.

    Habari zenu wana MMU 👋🏽 👋🏽 Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija. Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
  6. Shuku_

    WANAWAKE wengi TZ, wanaongoza kwa kufanya biashara ambazo hazina tija.

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija. Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
  7. Nehemia Kilave

    Inasikitisha sana kwa vita zinazoendelea baadhi ya Nchi kufanya ndiyo sehemu ya majaribio ya silaha

    Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli . Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha . Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .
  8. Waufukweni

    LGE2024 Rukwa: Nape awataka Wagombea kufanya Kampeni kwa Amani

    Nape Moses Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (MNEC) alipokuwa akifungua mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa aneeleza kuwa ni muhimu wagombea kufanya kampeni kwa amani.
  9. Mwachiluwi

    Mwanaume unawezaje kufanya hivi?

    Mwanaume unawezaje kujenga kwa mkeo yaani kujenga nyumba nyumbani kwa mkeo wakati kwenu kunavuja? Unawezaje kuhudumia familia ya mkeo wakati wewe familia yako hakuna wakuhudumia? Unawezaje kusomesha ndugu za mkeo wakati kwenu ndugu wengi hawajasoma? Huoni mwanamke anakunyonya anata kukua uon...
  10. Powder

    Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

    Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa. Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away ambapo mara hufanya Vizuri kuliko ikicheza Nyumbani. Walichofanya Wakawa Wana organize support toka...
  11. Magical power

    Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke

    Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke. Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala ya kufanya upuuzi huo ni bora utumie kila senti unayoingiza, kuvutia pesa nyingine upande wako. Kama...
  12. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Manispaa asisitiza wagombea kufanya kampeni za kistaarabu

    Wakuu, Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza? Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kuhakikisha kampeni zao zinafanyika kwa kistaarabu na kwa kufuata...
  13. Komeo Lachuma

    Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

    Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
  14. chiembe

    Kuna utaratibu wa kufanya ukaguzi wa hali ya majengo marefu, walau kwa kila mwaka?

    Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
  15. P

    Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

    Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50 Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
  16. Mi mi

    CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

    Nchi ya China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka.
  17. Money Penny

    Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

    Jirani: Money penny njoo Money penny: Mekuja jirani nambie Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi Money penny: Du...
  18. Gwappo Mwakatobe

    Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
  19. Surya

    Ukitaka kufanya mambo yako kwa Amani, usiamini Mtu.

    Ni bora ukakaa na Mchawi kuliko kuwa na mtu ambaye sio mchawi ila muongo muongo na tapeli Nitoe ushuhuda tu wa matukio mawili yalio nikuta jana - Kuna sehemu nilikwenda kwenye pita huku na huku na kijana wangu, tukafika sehemu kupata Juice (Juice Point) Kwa amani ngoja niulize bei ya juice...
  20. Melubo Letema

    TOC kufanya uchaguzi Disemba 14, Filbert Bayi Kugombea tena

    Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi utatanguliwa na uchaguzi wa kamisheni ya wanamichezo. Filbert Bayi bado yuko busy kujipanga na rushwa ili...
Back
Top Bottom