Usione vyaelea vimeundwa, Faisal amekuwa Faisal baada ya kunolewa na kupatiwa huduma stahili. Hakuna sababu ya kumzuia mchezaji asiondoke kwenye timu baada ya kufuata taratibu zote, maana hata wachezaji wakubwa wanazihama timu zao, lakini Kuna wachezaji wakubwa pia wanakwama kuzihama timu zao...