kufunga

  1. Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma!

    Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma! Nimekadiria jiji la Dar tu kuwa na dala dala si chini ya elfu hamsini ambazo zinatumia mafuta ya zaidi ya Bilioni 150 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya trilioni moja kwa mwaka. Kuliko kuzipeleka fedha hizo kwenye kutoa...
  2. Hivi Tanzania mtu anaweza kufunga ndoa mahakamani?

    Nasikiaga tu ndoa za kwa mkuu wa wilaya/Bomani. Inawezekana kufunga ndoa mahakamani? Na swali la nyiongeza, ndoa za kimila hufungishwa wapi, na nani?
  3. I

    Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga. Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso...
  4. Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Sababu za tishio la kufunga biashara kwa makampuni haya sio sababu halisi kama wengi wanavyozipokea. Ukisoma statements zao, zimeandikwa kimkakati kwamba LATRA wameongeza new charges ya 15%. Seriously?!. Sio kweli kwamba Serikali imeweka kodi mpya ya 15%. Uhalisia ni kuwa LATRA wamewataka Uber...
  5. Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

    Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga. NB: Nilifunga gesi kwenye Toyota Surf, yaani full majanga
  6. Kufunga Ramdahan ni nguzo nzito sana kwa Waislamu walio wengi

    Kwa utafiti niliuoufanya Waislam walio wengi hawafungi ramadhani, wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza, majirani, marafiki, wazazi n.k Yani ile kwamba watanionaje? Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana. Mungu hachezewi ipo siku tutajutia...
  7. Standard Chartered kufunza shughuli zake Zimbabwe, kupunguza huduma Tanzania

    BENKI YA STANDARD CHATERED KUFUNGWA ZIMBABWE,INAPUNGUZA HUDUMA TANZANIA. LONDON, Uingereza - Benki kongwe zaidi ya Zimbabwe ya Standard Chartered imefunga shughuli zake nchini Zimbabwe na nchi nyingine sita za Afrika na Mashariki ya Kati kama inataka kuboresha faida kwa kupunguza mwelekeo wake...
  8. Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

    Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje? Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?. NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
  9. Mwezi wa Ramadhan: Zifahamu faida za kisayansi za kufunga kula chakula wasizozifahamu wafungaji

    Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
  10. Chanel yasitisha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaozinunua na kupeleka Urusi ikiwa ni baada ya kufunga maduka yake nchini humo

    Kampuni kubwa ya kifahari ya Chanel ya Ufaransa imeacha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaonunua na kuzipeleka Urusi, baada ya kufunga maduka yake nchini humo. Moscow na baadhi ya wateja wameishutumu kampuni hiyo kwa kupinga Urusi, na kutishia kususia chapa hiyo. Chanel inasema inazingatia tu...
  11. Maana halisi ya kufunga Mkanda karne hii

  12. Nyerere alipofungua ‘Dance’ Msondo Ngoma

    Nyerere alicheza Msondo, wewe nani usicheze? Miaka 56 iliyopita, nazungumzia mwaka 1964, bendi mbili kubwa za Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, zilipiga dansi maalumu la kuchangia chama cha TANU. Bendi hizo ni NUTA Jazz, Msondo Ngoma ambao mpaka sasa bado wapo katika ulimwengu wa muziki...
  13. Kipindi hiki ni cha kufunga mkanda haswa

    Karibu kila Mwananchi anajionea hali jinsi ilivo mtaani, ngano bei juu, mafuta ya kupikia,mchele,nk. kulinganisha na hali ya pesa mtaani ilivo mbaya wengi wanashindwa kununua mahitaji ya msingi nyumbani Watu wamekuwa wakilalamika kwenye mitandao bila kujua wafanyeje maana kilio Chao kimekuwa...
  14. Kilimanjaro: Lyatonga Mrema kufunga ndoa Alhamisi Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha

    Siku moja kabla ya kufunga ndoa Mwenyekiti wa TLP Taifa, Dk. Augustino Mrema amesema kuwa atajaribu kujikokota kuelekea Kanisani na kama itatokea ataishia njiani kutokana na afya yake kutokuwa sawa, anaamini Paroko atajua nini cha kufanya. Mrema amesisitiza kuwa huduma ya Kanisa inapatikana...
  15. Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

    Picha: Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro. === Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa...
  16. Benki kubwa ya Urusi yaaga soko la bara Uropa na kufunga matawi yote huko

    Hii ni baada ya wafanyi kazi wake Warusi kutishiwa waondoke kwenye mataifa yote ya Uropa, na pia kususiwa kwa biashara zote zenye asili ya Urusi. Putin alikua amesubiriwa muda mrefu aingie kwenye kumi nane, Warusi wanateseka kote nje na ndani kwa ajili yake na muda usio mrefu watamgeukia, Urusi...
  17. Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Nawasalimia wana JF wote. Katika mwendelezo wangu wa kuwafundisha na kuwafungua macho watu, leo nimeonelea nilete siri iliyomo katika kufunga. Kwanza kabisa nawaomba muelewe kwamba, kuna namna nyingi sana ya kufunga lakini nitaongelea namna tatu:- 1. Kufunga kwa malengo 2. Kufunga kwa mujibu...
  18. Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  19. Rais Mseveni aruhusu shughuli za uchumi kufunguliwa tena baada kufunga kwa takriban miaka miwili

    Shuguli zote za kiuchumi zimefunguliwa tena nchini Uganda leo Jumatatu baada ya kufungwa kwa baadhi ya biashara kwa karibu miaka miwili. Baa, vilabu vya usiku, kumbi za michezo na maeneo mengine ya burudani pamoja na shuguli nyingine za usiku vimefunguliwa rasmi baada ya kufungwa mwezi Machi...
  20. Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…