Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela nyingine?..
Just imagine hauko stable then vijana wanaambiwa mahari million 2/3, na bado huyo...
hata Yesu alivyoomba alifumbua macho huku akiangalia juu mbinguni .. YOHANA 17:1
Usiku wa juzi nikiwa nikiwa kwenye maandalizi ya kulala, kama kawida yangu huwa ni lazima nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, utimamu na amani aliyonipa. Kwa siku hio kabla ya kulala nikajiuliza swali kwanini huwa...
Habari wana JF?
Natumaini mnaendelea vizuri!
NB: Nimeandika hii kwa niaba! Nimesimuliwa hadi chozi likatoka.
Wapwa, kuna suala linaniumiza sana kichwa nalo ni kuhusiana na kinachompata rafiki yangu kwa sasa.
Stori iko hivi:
Mimi na rafiki yangu tulikutana katika harakati za maisha, tukaamua...
Wajameni.
Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo.
Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali"
Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi na konyagi kaschana. " Serengeti Moja au mbili." ?
Mimi. "Mbili"
Muhudumu. " Nii panue?"
Mimi...
Ndugu zangu watanzania,
Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi uliotukuka,miaka ya kujenga umoja wa watanzania,miaka ya kushikamana Kama Taifa,miaka ya kupanda na...
Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda.
Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na...
Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk
Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na mmiliki wake mpya Elon Musk.
kuwanyamazisha waandishi wa habari kwenye Twitter huku wakidai kuwa...
Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali.
Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu.
Vamos Argentina.
Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi?
Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k.
Kwa upande wangu nina ushuhuda wa...
Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka.
Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida...
Nashangaa sana kuona watu wanayopotoshana kwamba ujio wa starlink Internet hapa Tanzania ndio utakuwa suluhisho la unlimited internet ghali kama supakasi ya voda.
Kama hauwezi kumudu internet unlimited ya supakasi kwa 115,000 basi ondoa shaka kabisa kwamba star link itabaki kuwa ndoto daima...
Hodi humu jamvini wana MMU,
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu.
Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri...
Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo.
Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa hapa Bongo nikapata kampuni moja(hide name) ipo Arusha wanauza bei mbaya mno yani zaidi ya 2 millions...
Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng.
Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.