Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
Ninaangalia matangazo LIVE kupitia luninga za Kenya.
Jambo moja ambalo limenishangaza Sana ni kuona msafara wa Rais mteule, William Ruto, ukienda kwenye kiwanja cha Kasarani, ambako ndiyo kunakotarajiwa kwa shughuli hiyo ya uapisho, akipita barabarani bila kuzifunga barabara hizo, kwa maana...
Habari.
Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana.
Vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38, awe tayari kwa maisha ya ndoa, kama ana mtoto asizidi mmoja; ndio uwezo...
Nawaambia Wananchi wa Kenya, mjindae, mfunge mikanda!
Kwa dalili na maneno ninayosakia Mh William Rutto ni wazi kabisa anakuja kufanya kazi, kwanza hataki kabisa siasa za kinafiki, Rutto anakuja na itikadi kama za Magufuli! Kama ni Kinyesi cha Ng'ombe atakuambia hiko ni kinyesi usile na katu...
Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000.
Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo?
Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa gharama?
Ni wapi naweza pata huduma ya kufunga mfumo huu kwa gharama nafuu?
Pia kwa yoyote mwenye...
Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
Nimejiuliza hivi kwa sababu ni kawaida kusafiri ndani ya basi lenye abiria zaid ya sitini bila hata mmoja kufungua kioo cha dirisha.
Na pia ukifungua wa siti ya nyuma analalamika upepo unampuliza.
Watu mnasafiri muda mrefu bila hewa mpya kuingia ndani ya basi madhara yake ni kuumwa kichwa na...
Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu.
Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
Sijui ni mimi tu ndio naona hili au kuna wapo wengine mmeona hivi vichuma vya kufungua na kufunga gesi kabla ya kuwasha kwenye mitungi midogo.
Sivijui jina lake kwa kingereza au kiswahili wee elewa ivo tu nilivoandika.
Ubora wa hivi vichuma nina mashaka nao kama uko sahihi na...
Habari wanajf
Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao...
Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo.
Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko.
Kwa upande wa...
Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli.
Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye...
Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice.
When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
Habari za jioni waungwana.
Kama nilivyoeleza hapo juu kwenye heading hio, Nimefanya kazi zote hizo kwa muda tofauti tofauti na bado hahusika nazo mpaka Sasa.
Nimekuja kwenu kuomba msaada wa kampuni, shirika, mtu binafsi atakayeweza/kuwa tayari kufanya kazi na mimi.
Napatikana mkoa wa...
Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina.
Takribani Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.