kufunga

  1. GENTAMYCINE

    Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

    Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili? Sasa Phiri anacheza nina Furaha mno kwani ndiyo Mshambuliaji wangu bora kuliko Wote Kikosini Simba SC.
  2. M

    Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

    Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma. Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje? Natanguliza shukrani 🙏.
  3. Wakili wa shetani

    Hatuna teknolojia ya kufunga nguzo za zege? Naona zimekaa tu

    Kuna sehemu TANESCO wanafunga nguzo za zege? Kuna sehemu kama mbili naona zimekaa tu zaidi ya mwaka. Naona kama walizinunua bila kuwa na utaalamu wa kuzifunga, mbona sioni zikifungwa!
  4. Tarimofundiumeme

    Pendezesha mazingira ya nje kwa kufunga Taa Hizi za Solar

    Taa za Solar za kufunga ukutani, Tsh 35000. zinawaka automatic jioni na kuzima asubuhi.unachagua mwanga unaopenda. tupo kariakoo dsm. 0747591578.call/whatsapp
  5. Msanii

    Watanzania, huu ni wakati wa kufunga na kuliombea Taifa. Mkataba wa Bandari zetu ni mlango usiopendeza kwa haya yanayoendelea

    Amani iwe kwenu Watanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeainisha wazi kwamba serikali haina dini na imeenda mbali zaidi kwa kutoa hakikisho lenye ulinzi wa Kikatiba wa Uhuru wa Kuabudu. Ingawa kiutekelezaji wake unahitaji ithibati ya serikali isiyojiingiza kwenye masuala ya...
  6. BARD AI

    Miili ya walioagizwa kufunga hadi wafe nchini Kenya yafikia 372

    Idadi hiyo imetokana na kupatikana kwa Miili 12 katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, Kenya ambako utafutaji wa Wahanga waliotakiwa na Mchungaji Mackenzie Kufunga hadi Wafe ili kukutana na Mungu ukiendelea Waliookolewa wakiwa hai hadi sasa wamefikia 95 huku uchukuaji wa Vinasaba ukiwa...
  7. BARD AI

    Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  8. L

    Sekta ya kuchakata, kusindika na kufunga bidhaa itatoa mchango mkubwa katika kuongeza thamani ya bidhaa za Tanzania

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja wengi wa China. Licha ya kuwa waonyesha bidhaa hizo walipata wateja wengi na kuuza bidhaa zao, moja ya...
  9. African Geek

    Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  10. Suley2019

    Dkt. Mwigulu: Kuanzia tarehe 1/07/2023 hakuna kufunga biashara kwa kigezo cha mtu kukiuka taratibu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
  11. B

    Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda, kauli yako ya kufunga Shule ni kama imedharauliwa au haijasikika. Chukua Kipaza Sauti

    Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua...
  12. FaizaFoxy

    Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam. Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)? Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba...
  13. haszu

    Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Habari wakuu, Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  14. Suley2019

    Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
  15. B

    Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  16. mwarabu feki

    FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  17. Mwigunejacob

    Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge

    Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha Waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge wakati kanisa lake la Good News International huko Malindi lilipoimarika miaka michache iliyopita. Hakuwa mtu aliyechanganyikiwa, kama...
  18. jastertz

    Mhubiri Paul MacKenzie alianzaje safari tata ya kuwashawishi watu kufunga hadi kufa?

    Ulianza kama ufichuzi ambao ungeyeyuka baada ya muda mfupi wa mihemko na lalama. Lakini kilichoanzia kati kati ya msitu eneo la Malindi Pwani ya Kenya wiki moja iliyopita sasa kinageuka kuwa donda ambalo kumbukumbu zake hazitafifia hivi karibuni. Kufukuliwa kwa makaburi ya kina kifupi ambayo...
  19. BARD AI

    Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  20. kavulata

    Waislam Tuendelee kufunga na kufungua kwa kuona mwezi?

    Daah!! Mufti wa siku hizi Wana Smart phones, television na radio nyumbani, ofisini, kwenye simu na kwenye magari yao. Je, Tuendelee na utaratibu wa kufunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwa macho yetu hapa mtaani kwetu? Ni kwanini mtume alihimiza Waislam waitafute elimu hata uchina? Uchina hakuwa...
Back
Top Bottom