kufunga

  1. Moronight walker

    Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

    Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule. Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa. Nguo za zamani hazitupwi. Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳. Mshikamawili moja umponyoka.
  2. F

    Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    Habari Wadau. Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka. Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani. Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando. Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone. Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye...
  3. BARD AI

    Mwamposa adaiwa kuwatumia Trafiki kufunga Barabara ili awahi safari zake, asababisha Foleni zaidi ya masaa 4

    Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
  4. JanguKamaJangu

    Wachezaji wanaoongoza kwa kufunga pointi nyingi NBA

    Nyota wa Ligi ya Kikapu ya NBA, LeBron James amefanikiwa kuwa mchezaji anayongoza kwa kufunga pointi nyingi katika ligi hiyo baada ya kufikisha zaidi ya pointi 39,000. LeBron (38) anayeichezea Los Angeles Lakers amefikisha rekodi hiyo akimpita nguli mwingine wa Lakers, Kareem Abdul-Jabbar...
  5. M

    Kipi bora kati ya kuishi na mpenzi (bila ndoa) au kufunga ndoa?

    Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano; 1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba bado hajaolewa na anatafuta mwanaume wa kumuoa. 2. Mwanamke anaishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka...
  6. Kariakooking1978

    Hii ni kwa mtu yoyote anaetegemea kuanza biashara kwa kufunga mzigo Kariakoo

    Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako. Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo. Vitabu hivi...
  7. ChoiceVariable

    Denmark yatangaza kuendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Ilipanga kuufunga ifikapo 2024

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ametangaza kwamba Denmark itaendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Kuhusu Denmark kufunga ubalozi wake, soma >Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024 Ujumbe wa Balozi wa Denmark nchini Tanzania. --...
  8. Nigrastratatract nerve

    Paul Makonda: Endeleeni kufunga barabara maana tumepewa jukumu la kuwasikiliza na kuisaidia Serikali

    ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA "Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa Viongozi wanapita ni nzuri sana kwa maana inasaidia kusikiliza ba kutatua kero na changamoto zenu tena...
  9. dubu

    IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

    Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
  10. M

    Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

    Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
  11. I

    Kuwa wapenzi wa muda mrefu na hadi kufunga ndoa ni kitu kinavutia sana

    Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao na kujuana ndugu wa pande zote. Basi kwenye maelezo yule jamaa akasema alikutana na huyu manzi...
  12. Victor Mlaki

    Kosa kubwa tunalolifanya kabla ya kufunga ndoa

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali tunakosea. Ikumbukwe kuwa watu wanapoamua kuishi pamoja kama mke na mume au kufunga ndoa ni moja ya...
  13. Majok majok

    Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

    Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%. Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani...
  14. BARD AI

    Norway kufunga Ubalozi wake nchini Uganda

    Norway imetangaza kufunga ubalozi wake nchini Uganda mwaka ujao kama sehemu ya mageuzi ya kina katika huduma zake za kigeni. Taarifa iliyotolewa na ubalozi huo siku ya Ijumaa ilisema kuwa mabadiliko kadhaa yanaendelea katika uwepo wa kidiplomasia wa nchi hiyo nje ya nchi. "Kuzingatia na...
  15. D

    Kufunga minyororo magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho mijini ni utaratibu wa ovyo kabisa

    Siamini kabisa kwamba kuna wasomi walikaa sehemu wakajadili na kulipana posho za kikao kwamba: Magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho (parking) Yaanze kufungwa minyororo ili kushinikiza wamiliki kulipia tozo hizo. Huu ni utaratibu wa hovyo sana 1. Huu utaratibu ni Hovyo kwasababu...
  16. The introvert

    Olivier Giroud sio kufunga tu mpaka kwenye kudaja yumo

    Naam unachokiona hapo kwenye picha sio ndoto wala editing, ni hali halisi iliyotokea katika mechi ya leo ya ac milan ambapo katika dakika za salama kipa namba moja wa ac milan alilimwa kadi nyekundu akaingia kipa namba mbili naye pia akalimwa kadi nyekundu na ndipo ikambidi giroud achukte...
  17. BARD AI

    Waziri Mwigulu: Ni marufuku kwa TRA kufunga Maduka

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwafungia maduka wafanyabishara wadogo ni changamoto inayochochea kuwepo kwa uingizwaji holela wa bidhaa za magendo nchini. Nchemba amesema hayo jana Jumatatu Oktoba 2, 2023 wakati akizungumza na wananchi...
  18. Teko Modise

    Fiston Mayele ameshindwa kufunga goli hata 1 wakati timu yake ikiua goli 6 juzi

    Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga. Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi kigumu…
  19. Introverted

    Nataka kufunga biashara yangu naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
  20. Marathon day

    Usumbufu wa TRA kwenye kufunga ving'amuzi

    Ndugu wahusika kumekua na usumbufu mkubwa kwa kampuni zilizopewa tenda ya kufunga ving'amuzi kwa magari ya Transit. Bei hazieleweki, mtu akiamka ataviuza kwa 60,000/ siku nyingine mpaka inafika 80,000/ system zake zinasumbua, mda mwingine havisomi kwenye system. Vinaleta usumbufu sana kwa...
Back
Top Bottom