kufunga

  1. Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

  2. Denmark kufunga balozi zisizokuwa na tija kwao, Tanzania ni mojawapo

    Kwa wataalam wa haya madude ina maana Tanzania kwenye mambo ya kidiplomasia imefika kiasi cha kutemwa na mataifa ya maana kama Denmark, hii ina maana Watz watakua wanakuja Nairobi au Kampala, Uganda kwa huduma zozote zinazohusu ubalozi wa Denmark. Mama Suluhu ana kazi kwa kweli, yaani mpaka...
  3. J

    Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

    Denmark itafunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati ikibadilisha mfumo wake wa mashirikiano ili kutekeleza vipaumbele vya serikali. Nchi hiyo imesema kujipanga upya kutachangia utekelezaji wa mkakati wake mpya wa maendeleo na ushirikiano. Waziri wa Mambo ya nje Jeppe Kofod alisema Upangaji huu...
  4. M

    Umuhimu wa kufunga mkanda dereva nusura akanyagwe na tairi la gari

  5. Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
  6. Serikali kufunga vifaa vya kielektroniki kufuatilia nyendo za vyombo vyote vya usafiri

    Serikali ya Uganda imeingia mkataba na Kampuni ya Teknolojia ya Global Systems LLC ili kuweka vifaa vya kielektroniki (tracking devices) kwenye vyombo vyote vya usafiri nchini humo. Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Jim Muhwezi amethibitisha jana kuwa wamesaini mkataba wa...
  7. Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  8. M

    Je Ronaldo leo atauvunja mwiko?: Hajawahi kufunga goli dhidi ya Ujerumani!

    Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
  9. Walimu wa English medium wana nafasi kubwa ya kufunga ndoa na wazazi wakina Junior

    Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa. Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
  10. Tarehe ya kufunga na kufungua shule za serikali kwa likizo ya kumaliza muhula wa 1, 2021

    Waalimu naomba mnisaidie hii, Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
  11. Makamu wa Rais kesho kufungua wiki ya Sokoine

    Kama inavyojieleza Kwenye Picha hapo chini
  12. LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  13. Nimeamua rasmi kufunga biashara

    Yani nimepata kahela kidogo baada ya kuachishwa kazi nikasema ngoja nianzishe kibiashara tena cha mtaji wa million mbili leo hii watu wa wamanispaa wamenikamata wanataka nilipe faini ya laki nne na nusu na biashara yenyewe kila siku nalala tu ofisini. Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya...
  14. Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

    Habari zenu wanaJF Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39]) Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja. Suala lililonileta kwenu. Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto...
  15. Nataka kufunga satellite dish mwenyewe

    Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
  16. D

    Kuliko kufunga wasiojulikana; Serikali ingefunga na wale wasanii wanaotongoza wanafunzi ili fundisho lifike kwa jamii

    Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii. Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii. Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa...
  17. S

    Ushauri kwa wanaotaka kufunga na kufungisha ndoa

    Wadau habari ya muda huu. Nimetafakari sana juu ya madhara ya watu wanaotaka kuona kwa kupimwa HIV_muda kidogotu nakupewa kibali cha kufungishwa ndoa Kwangu naona jambo hili halijakaa sawa. Bado mtu anaweza akamuambukiza mwenza wake kutokana na kupimwa HIV kwa mwendo waharaka. Pia madaktari...
  18. Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi. Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
  19. U

    Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
  20. Je, mwenye dread anaruhusiwa kufunga Ramadhani?

    Wakuu habari zenu poleni na kazi mimi ni kijana wa Kiislam ila nimefuga nywele maana yake na dread kichwani sasa kwa wale ambao wanajua je wenye dread wanaruhusiwa kufunga? Naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaani nikifunga na hizi nywele kichwani nitakuwa nakaa na njaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…