kufunga

  1. Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  2. Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe apiga marufuku taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote

    Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote ahimiza majadiliano badala ya funga funga. Amesema asisikie. Huo ni uhujumu uchumi TRA na...
  3. O

    Kujengea tanki la maji juu vs kufunga pressure pump. Tubadilishane mawazo

    Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine hujengea tanki juuu ambapo maji hupandishwa kutoka chanzo husika hadi kwenye tanki ndipo yashuke kwa...
  4. Wimbi la Wafanyabiashara kufunga maduka yao kwa sababu ya kutofautiana na Serikali lashika kasi

    Ilianza Songea na sasa ni Mafinga Kesho ni wapi ?
  5. T

    Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

    Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
  6. Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani. Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia. Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba...
  7. Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
  8. Je, huu ni wakati sahihi wa Rais Magufuli kufunga balozi za mabeberu, tubaki na balozi tu ambazo sio za kibeberu?

    Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia. Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia. Shirika kubwa la afya la...
  9. Burundi yatangaza kufunga mipaka yake kuanzia kesho kutokana na Covid 19

    Serikali ya Burundi imetangaza kuwa itafunga mipaka yake ya majini na ardhini kuanzia Jumatatu ijayo, ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameonekana kuongezeka wiki hii. Hatua hii imekua, baada ya wiki hii watu zaidi ya 40 kuambukizwa virusi hivyo ndani ya siku mbili katika...
  10. Vifungashio vya plastiki visivyo na nembo ya TBS visitumike kuanzia leo

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema vifungashio vinavyotokana na malighafi ya plastiki na ambavyo havina nembo ya Shirika la Viwango (TBS), haviruhuwi kutumika kuanzia leo. Jana, Kaimu Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini, Nancy Nyenga, aliiambia Nipashe kwamba...
  11. TRAFFIC ENGINEERING: Ni vigezo gani huzingatiwa katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania (Traffic Engineers) eti; Ni vigezo gani vya kitaalam huzingatiwa na engineers katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara za mijini? (1) Kama...
  12. E

    Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

    Ni msanii mtukutu . Alipotea ghafra. Hatujui aliko. Ni Godfrat Tumaini a.k.a konk master DUDU BAYA. Nawasirisha tafadhari. 2020/2021
  13. Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

    Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili; 1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
  14. Marekani kufunga balozi zake 2 zilizopo Urusi kwa sababu za kiusalama

    Marekani inapanga kuzifunga ofisi mbili za ubalozi mdogo nchini Urusi kwa sababu ya masuala ya usalama na ulinzi. Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema ubalozi mdogo kwenye mji wa Vladivostok na mwingine kwenye mji wa Yekaterinburg ndiyo zitafungwa baada ya mashauriano na balozi wa...
  15. USHAURI: Mnaotaka kufunga ndoa kwa sherehe kubwa zingatieni haya kuepuka lawama za watu

    Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu. Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu. "Ukitaka cha uvunguni sharti uiname" Nimehudhiria baadhi ya harusi nyingi sana hasa mwaka huu lakini mambo siyo ya kuridhisha kabisa...
  16. Uganda: Google yakataa kufunga channel ya YouTube kwa maombi ya Serikali

    Tume ya Mawasiliano ya #Uganda (UCC) iliitaka Google ifunge YouTube Channels 17 ikiwemo Ghetto TV inayomilikiwa na Bobi Wine kwa madai kuwa zilitumika kueneza machafuko yaliyotokea hivi karibuni Google wamesema huwa wanafuata sheria za nchi lakini ni lazima iwe amri ya mahakama. Maombi...
  17. M

    TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha...
  18. Ujerumani kufunga maduka mengi na shule kudhibiti Corona

    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema hii leo kwamba sserikali kuu na zile za majimbo wamekubaliana kuhusu rasimu ya mapendekezo ya kuweka hatua kali za kujaribu kudhibiti wimbi la maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo. Hatua hizo ni pamoja na kufungwa kwa maduka mengi kuanzia siku...
  19. U

    Kigogo Mkubwa Wa Timu Ya Soka Ya Simba Aamua Kuachana Na Ubachelor Kwa Kufunga Ndoa Takatifu

    Hongera Sana Kigogo na msemaji wa Simba Kamarada Haji Manara
  20. Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe. Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…