Kampuni ya kuuza bidhaa mtandaoni JUMIA yenye branch zake mbalimbali Afrika leo tarehe 27/11/2019 imefunga ofisi zake ramsi, hata hivyo imebakisha kitengo kimoja kinachohusisha mauzo ya chakula pekee.
Ukitoa ofisi za Tanzania pia wamefunga ofisi zao za nchini Cameroon, kwa madai kuwa ofisi hizi...