Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden...
https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19
Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa...
Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.
Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL.
Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
Amefanya kazi miezi miwili tu,
Kweli mpira kazi ya ajabu sana.
---
Al Ahli Tripoli has decided to sack their head coach Chokri Khatoui after failing to guide the team into the CAF Confederation Cup group stage on Sunday against Tanzanian giants, Simba SC.
Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi.
Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya nne. Viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda na...
Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
Wananchi watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Julai 25, 2024 wakati...
Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
Mugomo ulioanza Jana Dar es salaam sasa umefika jijini kwanza Leo maduka yote makubwa ya mefungwa. Jijini kwanza.
Kusema kweli huu si utamaduni wetu.watanzania wafanya biashara wanadai haki zao. Selikari nayoinatimiza wajibu wake swali ni Je Nani anawajibika kuleta suruhu la kudumu
Licha ya kuripotiwa kuwepo kwa suluhu kwenye baadhi ya madai ya Wafanyabiashara waliyowasilisha Serikalini na kufanyika kikao cha pamoja lakini mpaka kufikia Saa tatu Asubuhi hali ya mgomo inaonekana kuendelea maeneo ya Kariakoo ambapo maduka mengi yameendelea kufungwa.
Itakumbukwa kwamba jana...
Leo, wafanyabiashara wa Kariakoo wamesitisha shughuli zao kwa pamoja kwa kugomea kodi na ukaguzi mkali, hatua ambayo imesababisha maduka kufungwa na kuathiri biashara kwa kiasi kikubwa. Mgomo huu unakuja baada ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wafanyabiashara kuhusu ongezeko la kodi na...
Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari hiyo kulikosababishwa na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.
Bandari hiyo kikawaida...
Huyu dogo sisi ndo tumemlea kabisa na kumpatia hata nguvu za kucheza mpira. Amekuja kwetu muda wote ana rembua tu macho. Tumemsaidia angalau kuyakaza, sasa anaaanza jiona naye ni mtu???????????????????? Bernard Morrison atakutana naye siku moja.
KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo .
Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.