Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani.
Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Barabarani ya Mkoa huo, wapo mbioni kuanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuweka camera za kisasa kwenye maeneo korofi kwenye barabara kuu inayounganisha Mkoa huo na Mikoa mingine na kwa kuanzia camera hizo zitafungwa eneo la...
Dirisha la usajili Ligi Kuu kubwa Ulaya linatarajiwa kufungwa Saa 5:59 Usiku wa Septemba 1, 2023, kuna taarifa nyingi kuhusu usajili, hizi ni baadhi
Chelsea ina nafasi kubwa ya kumsajili kiungo wa Brighton, Moises Caicedo (21) kwa Pauni Milioni 115 (Tsh. Bilioni 364) ambaye pia anawaniwa na...
Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo?
Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia.
Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
Serikali ya Kenya imeamuru kufungwa kwa shule za msingi na sekondari za mchana zote jijini Nairobi na Mombasa kuelekea maandamano ya upinzani ya Azimio yatakayofanyika kuanzia Jumatano ya wiki hii.
Katika taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Prof. Kithure Kindiki na...
Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
IGUNGA KUFUNGWA TAA ZA KUONGOZA MAGARI BARABARANI
Clip/Video
Majibu ya Serikali kuhusu kufungwa Taa za kuongoza Magari dhidi ya Watembea kwa Miguu na Vyombo vingine vya moto kwenye Mji wa Igunga baada ya swali la Msingi la Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa.
Serikali...
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini...
Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi?
Wengine walipoona Yanga ametinga fainali, wakaanza kuipongeza ila sio kwa kupenda bali kwa kuumia na leo tumewajua.
Niwaulize tu...
Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika.
Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
KUNA TISHIO LA KITUO CHA YATIMA ILEMELA MBIONI KUFUNGWA KUTOKANA NA SHERALI
HUSEIN KUKISHTAKI MAHAKANI KITUO AKIDAI ALIPWE FIDIA YA MILIONI MIA MOJA
Hofu imetanda jijini Mwanza miongoni Mwa waislamu kutokana na Sherali na Ndugu yake BIM kuapa na kutamba Kwamba WAtakifunga kituo cha YATIMA...
Sitaandika sana,
Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera!
Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea.
Dunia mapito jama.
Sina kumbukumbu sahihi kuwa ni lini wafanyabiashara wa Kariakoo wamewahi kugoma kwasasabu yoyote. Kariakoo ndiyo Dubai ya nchi yetu, ina wafanyabiashara wa kila aina, wakiwemo wenye mitaji mikubwa, ya kati na midogo.
Kikubwa zaidi wanajitambua, naamini hawawezi tu wakakurupuka kugoma bila...
Mhe. Waziri WA Fedha Bila kujali kesi zilizowahi kufunguliwa na kuamuliwa kwenye mabaraza mbalimbali amegongelea msumari kuunganishwa Kwa Tanga cement na Twiga cement Kwa maelezo kwamba serikali inaziona dola milion Mia NNE siyo zakuacha hivihivi.
Nawakumbusha Tu maana mambo NI mengi uchaguzi...
"Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele”
Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
Simba tengenezeni timu timu ni ya kuunga unga Sana na wazee ni wengi kwenye timu
Haya mambo ya tumetolewa kiume ni utoto jengeni timu ya kushindana haswa mlitakiwa kupata goli ugenini kuua game kabisa leo sema kikosi hakuna tuwe wakweli!!
Ligi ya mabingwa inahitaji uwekezaji karibuni tena...
Yanga wasidhani kazi imekwisha, wanaohitaji Umakini wa Hali ya juu Kushinda mchezo ujao dhidi ya rivers, Kama wataleta mzaha wataambulia kichapo nyumbani na kutupwa nje ya mashindano
Kocha Christian Stellini ambaye alipewa mikoba kuongoza timu hadi mwisho wa msimu baada ya kufukuzwa kwa Antonio Conte, naye amefikia ukomo wa ajira yake ikiwa ni wiki chache tangu alipopewa ajira hiyo
Spurs ilifungwa 6-1 na Newcastle United katika mchezo wa Premier League, hivyo timu kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.