Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na kupoteza muda na Pesa kwa Mwarabu wawatafute Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwazuia Washambuliaji...
Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4.
Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto...
Wachezaji wa Ureno Pepe na Bruno Fernandes wanamlaumu Messi na Argentina kwa kufungwa jana.
Wanasema kuwa FIFA inamuandalia Messi kombe la dunia kwa lazima na ndio maana refa wao aliwekwa wa Argentina aliyekuwa anaipendelea Morocco.
My take: Hawa wametumwa na binadamu mwenye wivu mwingi kuliko...
Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza.
Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!
Timu kubwa Duniani huwa zinapoteza mechi kwa kufungwa na timu ndogo na dhaifu kwenye mashindano.
Yanga imefunga au kutoka sare na timu zote imara kwenye ligi na kupoteza mechi kwa timu iliyoko mkiani mwa ligi. Hii imetokea kwa timu kubwa kama Ujerumani na Argentina kufungwa na timu ndogo kwenye...
Kwa jana match ambayo ilikuwa kwangu muhimu sana ilikuwa ya Iran vs USA hii nliitamani sana. Ilikuwa match yenye mvuto wa peke yake kwetu sisi wapenzi wa Iran.
Nlifuatilia kwenye vyombo vya habari huko nje. Tension ilikuwa kubwa sana na Iran walijipanga kupata siku ya mapumziko kama...
Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC.
Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story.
Sasa...
Hivi kuna nini huko Dar es Salaam, naskia watu wana sema ema eti wananchi wamefungwa kwa sababu ya jezi zao za kiini Cha Yai. Eti wangekuwa na nyeusi Ihefu wasinge chomoka.
Sasa mimi nataka kujua kutoka kwa wale wenye maono ya kiroho rangi nyeusi inasababishaje unbeaten.
Kwa wale wa mambo ya...
Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni waziwazi!!
Timu ya Ujerumani wakaingia uwanjani huku wakilalamika kuwa WAMEZIBWA MIDOMO, na wakatoa...
Katika hali isiyo ya kawaida Mkurugenzi ameamua kufunga maduka ya Bukoba Manispaa kutokana na mgogoro wa Leseni na service levy.
Hali hii imetokana na aliyekuwa afisa biashara Richard kugushi vitabu vya Reciept na kutoa Leseni hewa lakini amekuwa akilindwa licha ya ushahidi wote kuwekwa...
Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani?
Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
Baada ya kuponea chupuchupu kutupwa jela mwaka 2018, sasa mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale anachungulia tena jela baada ya mchakato kumtupa jela kuanza tena upya.
Babu Tale ambaye ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni inayojihusisha na shughuli...
Klabu ya Yanga imerejea kwenye kilele cha msimamo wa Ligi Kuu NBC kwa pointi 23 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Bao pekee alilofunga kinda Clement Mzize dakika ya 18 ni la kwanza kuifungia Yanga kwenye mechi za...
Ni akili ya kawaida tu ambayo wala mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua, kuwa ni rahisi sana kwa adui yako kukusoma akijua uko naye karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu.
Halafu mkiambiwa hamna akili mnakataa na kukasirika. Mlichokifanya kuwahi kuondoka (kusafiri) leo ni kama vile...
Kada wa CCM amehukumiwa miaka saba jela na faini ya mamilioni kwa kile kinachosemekana ni kutoa maoni Yake kuhusu Utendaji wa Mwenyekiti wake ambaye pia ni Raisi.
Wapo wanashangilia jambo hili ila ukweli ni kwamba, kama Watu wanazuiwa kutoa "maoni" basi hakuna aliyesalama na ni suala la muda tu...
Unaweza dharau Yanga ila yaliyowatokea wengne leo Al Hilal ataingia kwa akili sana.
Kila la heri Yanga. Mungu ibariki Tanzania, bariki Yanga yetu.
Kwa hisani ya @mamabongeeeeee
Nimeona watu wanaleta ushahidi wa mechi dhidi ya Namungo ambayo wachezaji 8 bora wa Premeiro D'Agosto walizuiwa kucheza kwa "Mizengwe" ya UVIKO 19.
Hata baada ya kufungwa 6-2 pale Chamazi ambako zilichezwa mechi zote 2, lakini Namungo kwenye Group stage HAWAKUWEZA kufunga hata bao 1, kitu...
Mourinho kafukuzwa mara mbili na Liverpool...jumla wanafika 6 sasa...hatari sana
1. Jose Mourinho -chelsea, Man U
2. Marco Silva - Everton
3. Fransesco Guidolin - Swansea
4. slaven bilic -west ham
5. slavisa Jokanovic -Fullham
6. scott Perker -bournemouth...
Hii list itaongezeka Tu Nani...
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, imepitisha rasimu ya sheria ndogo inayotaka Wazazi watakaoshindwa kuwalipia vyakula watoto wao wakiwa shuleni, wafungwe miaka miwili gerezani.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Sifael Kulanga ambapo ameeleza kuwa rasimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.