kufurahia maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 nafaa kuingia katika ndoa au niendelee kufurahia maisha ya ubachera

    Habari zenu, Miaka 3 iliyo pita nilifanikiwa kuitwa baba nikiwa na umri wa miaka 22 ambapo nilipata mabinti zangu mapacha kutoka kwa Binti wa kijerumani Greta Friedrich Mimi na Greta tulikutana mwaka 2021 mwishoni nchini Italy nilipo kuwa mapumzikoni na tulianza mahusiano mimi nikiwa na umri...
  2. JamiiForums Tanzania Kama hela yako unaipata baada ya kazi, ni ngumu sana kufurahia maisha

    Kwa wale ambao ela yao ni baada ya kazi basi ni ngumu sana kufanya maisha pemben Kiuhalisia inatakiwa uwe mwekezaji alafu nusu mfanya kazi! bila ivo utakua unaona video tafauti za uumbaji wa dunia na kuishia kulike badala ya kupata mda wa kwenda
  3. JamiiForums Tanzania Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

    Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu...
  4. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Wanaume Wote: Umejinyima Sana, Sasa ni Wakati wa Kufurahia Maisha!

    Umejinyima Sana Tangu Utotoni Elimu ilikugharimu: Umepitia changamoto nyingi katika masomo yako, ukikabiliana na vikwazo vingi ili kupata elimu bora. Ulitafuta Utajiri Kwa Jasho: Umetumia muda mwingi na nguvu nyingi kutafuta mali na fedha, kiasi kwamba sasa una rasilimali za kutosha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…