Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya kote.
Watu wanamsifia kwamba huwa hana huruma, ana sifa za kuua watoto na wananchi wa kawaida kule...