Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.

Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.

Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna mabadiliko ya kuanza kuchunguza wanafunzi wanaotaka kusoma USA katika mabadiliko ya viza.
 
Aliens...! Sasa ndiyo ili upewe visa ndiyo wakague akaunti zako za mtandaoni waone kama ulikuwa unawasifia ama ulikuwa unawakosoa. Ukikosoa tu hupewi visa...Sasa Uhuru wa kutoa maoni na demokrasia yake vikao wapi? Tukifanya hivyo sisi , hizo kelele...!!!
 
Hii ni kweli kabisa China huwa anaangalia marekani kagundua nn nae faster anakuja na version ya hicho kitu
Anyway anasaidia kuleta ushindani

Achaneni na story za vijiweni hizi.

Alafu Trump kukataza nchi nyingine shida sio China, Shida ni Mahaba yake na Israeli(Wanafunzi wanaonekana na chuki au ukakasi wa kusema Hiyo nchi).
 
Achaneni na story za vijiweni hizi.

Alaru Trump kukataza nchi nyingine shida sio China, Shida ni Mahaba yake na Israeli(Wanafunzi wanaonekana na chuki au ukakasi wa kusema Hiyo nchi).
Nayo ni sababu pia Trump au marekani lazima awe upande wa Israel na ukiichukia Israel lazima wakushughulikie
 
Unadhani kuna nini kipya ambacho fore fathers kina Newton na mpaka kina Claude Shannon ambacho sasa hivi utasema ni chako ?, Kuna nini unaweza ukafanya watu washindwe kufanya reverse engineering ?, Bila watu kutoka Europe na dunia nzima kutapakaa na kufanya researches in collaboration unadhani hicho unachokipata sasa ungekipata ?

Na tukiongelea Historically unajua China inaweza kuwa credited na mangapi ?

If I have seen further than others is by standing on the Shoulders of the Giants....; By the way unadhani USA ilinufaika kwa mangapi kwa kupata collectively bright minds of the world kukusanyika sehemu moja ? Trump ni mpuuzi tu kama yule Juha aliyejaribu kumchinja the Golden Goose (aliyekuwa anataga yai la dhahabu moja kwa siku) akidhani kwamba atayakusanya yote kwa wakati mmoja
 
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.

Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.

Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna mabadiliko ya kuanza kuchunguza wanafunzi wanaotaka kusoma USA katika mabadiliko ya viza.
Usichokijua raia wa Marekani wanaoongoza kwa R&D ni asili ya China,Japan na Korea.
Naona unaropoka huongei.
China kipindi ina develop ama ku invent printer USA ilikua bado utumwani.
 
Achaneni na story za vijiweni hizi.

Alafu Trump kukataza nchi nyingine shida sio China, Shida ni Mahaba yake na Israeli(Wanafunzi wanaonekana na chuki au ukakasi wa kusema Hiyo nchi).
Ohoo mkuu kupenda si uchaguzi wao, mbona kuna watu wanamwabudu shetani ?
 
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.

Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.

Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna mabadiliko ya kuanza kuchunguza wanafunzi wanaotaka kusoma USA katika mabadiliko ya viza.
Umefanya utafiti wa kutosha wa hoja hii?
USA na wazungu hawaamini kama race zingine kuwa zina akili zaidi yao au kama wao.
Nenda msikilize Michio Kaku akieleza silaha kubwa ya maendelro ya USA.
Nenda ufanye kwanza utafiti jinsi China ilipofikia leo.
Nikupe mfano mmoja AI bot zimezinduliwa lini? Hao wachina walienda lini kukopi huko USA , Jambo lingine vyuo vikuu hawana kno how ya kuunda vitu bali research tu.Makampuni ndio wenye knowhow.
Ningekuelewa kama ungesema kuwa chanzo cha teknolojia ya China ni kuruhusu haki miliki ya teknolojia za ulaya kwa China.
Mie nilianza kuifuatilia China 2012 pamoja na ndugu yake irani, k8na mengi sana ya kujifunza.
Kaanfslie documentary wa kioelka maji Monchuria eneo la jangwa la China
Ina kila aina ya ubunifu wa binadamu. Usikuruipuke tu kutuletea mada wengine hatuta kuelewa. Sijapenda comment hii iwe ndefu.
 
tatizo unashinda kusikiliza CCM.fatalia wachambuzi.
 
Kama ana shida na China basi angezuia wachina pekee, sasa mbona kasimamisha utaratibu wa visa kwa nchi zote?

Yeye hataki wanaharakati wa kiislamu.

Na hapo anapiga mikwara tu, hawezi kuzuia kabisa. Wasomi wa nchi za nje wanaikuza sana taaluma marekani. Pia wanachangia $44bn kwenye pato la taifa.
 
Unadhani kuna nini kipya ambacho fore fathers kina Newton na mpaka kina Claude Shannon ambacho sasa hivi utasema ni chako ?, Kuna nini unaweza ukafanya watu washindwe kufanya reverse engineering ?, Bila watu kutoka Europe na dunia nzima kutapakaa na kufanya researches in collaboration unadhani hicho unachokipata sasa ungekipata ?
Mkuu wewe una akili, watanzania wengi hawapendi kusoma na kufanya research.
Swali la kujiuliza CEO wa NVIDIA ana asili ya China, CEO wa Google na Microsoft ni wahindi. Watu hawajiulizi kwa nini ila wanakurupuka tu.
Vyuo vya West vinategemea bright students all over the world. Ulaya na USA ni kapu la kukusanya intellectual ideas kutoka dunia nzima. Wakiacha kufanya hivyo habari yao itakuwa imeisha, mfano kama huo ni klabu za mpira za west, iwapo wataacha kusajili vipaji dunia mzima hizo ligi zao zotakufa.
Ndugu yangu endelea kuwa na akili usiwe bendera fuata upepo.
 
Trump anakereka kwamba wachina wamesomea US na kuchukua uwezo wao then wakausimplify na kuunda products za kwenda kuwauzia walimu wao! Viwanda vyote vimehamia China na sasa wamekua wateja wa wanafunzi wao! Kwa sasa ili kiwanda kiwezekane US sio zaidi ya miaka 5 na pesa za kutosha then hana manpower ya kutosha kukirun so ni kosa kubwa na la miaka mingi na Trump hana uwezo kulirekebisha hata apewe tena urais baada ya huu wa sasa
 
Kama ana shida na China basi angezuia wachina pekee, sasa mbona kasimamisha utaratibu wa visa kwa nchi zote?

Yeye hataki wanaharakati wa kiislamu.

Na hapo anapiga mikwara tu, hawezi kuzuia kabisa. Wasomi wa nchi za nje wanaikuza sana taaluma marekani. Pia wanachangia $44bn kwenye pato la taifa.
Anabalance shobo...
 
Trump anakereka kwamba wachina wamesomea US na kuchukua uwezo wao then wakausimplify na kuunda products za kwenda kuwauzia walimu wao! Viwanda vyote vimehamia China na sasa wamekua wateja wa wanafunzi wao! Kwa sasa ili kiwanda kiwezekane US sio zaidi ya miaka 5 na pesa za kutosha then hana manpower ya kutosha kukirun so ni kosa kubwa na la miaka mingi na Trump hana uwezo kulirekebisha hata apewe tena urais baada ya huu wa sasa
Not really, angalia line up ya companies zote kwenye bay area, executive positions na hata position za kawaida bado chinese ni wengi sana
 
Ndicho kinamkera anatamani wote wangekuwa Caucasians

Trump keshasema he doesn't believe on diversity so hizi ni hatua tu za kutekeleza imani yake! White supremacists hawaamini kama kuna mtu nje ya Caucasian anastahili chochote cha juu
 
Back
Top Bottom