Ndio maana kawachukua wale wazungu wa SA na kumkandia sana RhamaposaNdicho kinamkera anatamani wote wangekuwa Caucasians
Trump keshasema he doesn't believe on diversity so hizi ni hatua tu za kutekeleza imani yake! White supremacists hawaamini kama kuna mtu nje ya Caucasian anastahili chochote cha juu
Kwani Israel inapendwa Sana na marekani?Nayo ni sababu pia Trump au marekani lazima awe upande wa Israel na ukiichukia Israel lazima wakushughulikie
Kwani Israel inapendwa Sana na marekani?Nayo ni sababu pia Trump au marekani lazima awe upande wa Israel na ukiichukia Israel lazima wakushughulikie
Mkuu wewe ukiwa mtunga sera utaangamiza nchi maana una amini mawazo ya wazungu ya miaka 1980.tatizo unashinda kusikiliza CCM.fatalia wachambuzi.
Maslahi binafsi ndio base kubwa zaidi (state base) pale middle east inayolinda maslahi ya marekani au tuseme ni marekani flani isionekana pale middle eastKwani Israel inapendwa Sana na marekani?
Sasa si ndio hao wanafunzi waliokua wanasoma USA. Usicho kijua ni kwamba USA elimu yao ipo open wanakupa kila kitu bila kuficha. China elimu yao ipo closed kuna baadhi ya taarifa hutopata uzipate hizo ni kwaajili ya wachina tu.Usichokijua raia wa Marekani wanaoongoza kwa R&D ni asili ya China,Japan na Korea.
Naona unaropoka huongei.
China kipindi ina develop ama ku invent printer USA ilikua bado utumwani.
Walimu wazuri China wamesomea USA na UK. Na mwalimu wa China aliyesomea USA anaheshimika sana China.Mkuu wewe ukiwa mtunga sera utaangamiza nchi maana una amini mawazo ya wazungu ya miaka 1980.
Ulaya sasa ni miji iliopitwa na wakati, hataa mambo yao mengi yashapitwa na wakati ila mswahili ulishamezeshwa kuwa mzungu ndio kiumbe bora.
Sasa China inathibitisha hakuna kiumbe bora duniani hata wewe mweusi ukiamua unawapita wazungu.
Wachina wanaendelea kwa jitihada zao maana sio wao tu waliosomea ulaya/USA hata wahindi, waafrika, wamexico nk.
Tuwashukuru wachina leo tungekuwa bado tunapanda, punda, ng'ombe, mabasi malori, vifaa vya ke electronics vingekuwa adimu. Usafiri vijijini ungekuwa shida, mazao yangekuwa ghali kuyafikisha mjini.
Nk nk
Kitu nachomaanisha kama ingekua USA ndio kitovu cha elimu basi wao ndio wangeongoza kwenye R&D ila sio wageni.Sasa si ndio hao wanafunzi waliokua wanasoma USA. Usicho kijua ni kwamba USA elimu yao ipo open wanakupa kila kitu bila kuficha. China elimu yao ipo closed kuna baadhi ya taarifa hutopata uzipate hizo ni kwaajili ya wachina tu.
Hili nalikataa tena kwa herufi kubwa.Walimu wazuri China wamesomea USA na UK. Na mwalimu wa China aliyesomea USA anaheshimika sana China.
Wachina wapo vizuri kwenye R&D lakini hawawezi kuwashinda Marekani. Wamarekani wapo mbali sana katika mambo hayo ila wachina ndio wanakuja na sio Marekani tu. Wachina hawawafikii hata UK. Ndio maana hata ukiangalia kwenye vyuo vyenye uwezo mkubwa kwenye elimu na tafiti top ten vingi vipo USA na UK.Kitu nachomaanisha kama ingekua USA ndio kitovu cha elimu basi wao ndio wangeongoza kwenye R&D ila sio wageni.
Hii inajulisha Chinese ni watu makini na watu stadi sanaa.
Mimi nimekaa China nacho kueleza hapa nakueleza kutokana na uzoefu sio kwa kusikia kwa mtu.Hili nalikataa tena kwa herufi kubwa.
Unasema Chinese hawawafikii US Wala UK ilhali takwimu zinaonesha best students hapo USA ni Chinese,Japanese na Koreans.Wachina wapo vizuri kwenye R&D lakini hawawezi kuwashinda Marekani. Wamarekani wapo mbali sana katika mambo hayo ila wachina ndio wanakuja na sio Marekani tu. Wachina hawawafikii hata UK. Ndio maana hata ukiangalia kwenye vyuo vyenye uwezo mkubwa kwenye elimu na tafiti top ten vingi vipo USA na UK.
Sio peke yako uliyekaa China mzee.Mimi nimekaa China nacho kueleza hapa nakueleza kutokana na uzoefu sio kwa kusikia kwa mtu.
Nimesoma chuo namba moja China. Ambacho kipo top ten duniani. Tupunguze uzalendo tujikite kwenye facts. Simu unayotumia hapa saivi operator ni Marekani, Facebook unayotumia operator ni Marekani, Whatsapp unayotumia operator ni Marekani, Instagram unayotumia operator ni Marekani, computer unayotumia operator ni Marekani. Marekani yupo mbali boss, China wetu ndio anakuja lakini bado sana.Sio peke yako uliyekaa China mzee.
Unataka kusema umetembea vyuo vyote na ukamaliza vyuo vyote ama umeitembea China nzima!?
Usiongee kwa perception zako tu kulingana na ulichokiona.
Basi hujatembea vyuo vyote.Nimesoma chuo namba moja China. Ambacho kipo top ten duniani.
Marc Rubio, anasema "student visa is not a right, it's a privilege"Aliens...! Sasa ndiyo ili upewe visa ndiyo wakague akaunti zako za mtandaoni waone kama ulikuwa unawasifia ama ulikuwa unawakosoa. Ukikosoa tu hupewi visa...Sasa Uhuru wa kutoa maoni na demokrasia yake vikao wapi? Tukifanya hivyo sisi , hizo kelele...!!!