kufuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jesusie

    Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

    Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta, Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
  2. Mkogoti

    Msaada: Nawezaje kufuta account ya mtu ambaye alishafariki Facebook?

    Habari waugwana wa humu, je salama!? Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya vitu lazima nikutane nayo. Je, naomba nataka niwaambie Facebook waifute nifanyeje msaada wenu
  3. C

    Asanteni Simba kufata ushauri wangu, chizi vitabu mwenye akili nyingi

    Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa kapost pia ila source ni nuhu adams wa ghana natishiwa inbox eti nitafungwa harakisheni fastaa...
  4. B

    Serikali kufuta zaidi ya kesi mia nne ndani ya miezi Saba nyingi za watuhumiwa wa uhujum uchumi,mahakama ina umuhimu gani nchini?

    Kesi nyingi zilizofunguliwa na awamu ya JPM zimefutwa, watuhumiwa wengi tulioambiwa walihujumu uchumi wakanyimwa dhamana wameachiwa kwa maelezo kwamba serikali haina umuhimu wakuendelea na kesi hizo. Awali tuliambiwa wanazungumza na DPP wanalipa lakini Leo hii hakuna anayezungumza na DPP Wala...
  5. OllaChuga Oc

    Kuhusu kufuta Comment

    Wakuu khabari zenu wakuu. Mko salama? Naomba kujua endapo nahitaji kufuta comment(s) hapa JF. Mfano nimemuuzi mtu kwenye comment na hajapenda kile nilichoandika je nikifuta ile comment, itaondoka moja kwa moja kwenye server za jf? Na je mtu mwingine akiingia JF ataweza kuisoma ile comment...
  6. S

    Waziri wa fedha kasema kodi zote zimeishapitishwa na bunge hivyo yeye hawezi kufuta

    Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana, kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!
  7. B

    Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

    Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...
  8. P

    Hayati Magufuli ameacha legacy ya kuthubutu kufanya kitu bila ya kuomba ruhusa kwanza kwa mfadhili yeyote

    Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine. Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
  9. S

    CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

    Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini. Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
  10. Pascal Mayalla

    Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?

    Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
  11. M

    Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

    Bila Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake. Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia status zake, but yeye hajui kama naziona, vilevile yeye pia hufuatilia zangu bila kificho. Naomba...
  12. Ndikwega

    Suala la Ufahamu: Naomba Kujua jinsi ya Kufuta Documents kwenye Recycle Bin simu za Samasung

    Salaam! Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
  13. The Assassin

    NBAA inakomoa watahiniwa badala ya kuwawezesha na kuwasaidia

    Jana napiga story na mdogo wangu ambae anafanya mitihani ya NBAA ananiambia juzi hapa walifanya mitihani migumu hadi wakaongezewa muda kwenye chumba cha mtihani zaidi ya dakika 30. Nikajiuliza kwani NBAA kabla hawatoa mitihani yao hua hawaifanyii moderation kuona kama inaweza kufanyika kwa...
  14. G Sam

    Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

    Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo. Hii inakuwa post yake ya kwanza kuifutilia mbali tangia awe Rais rasmi wa Jamhuri ya muungano...
  15. Kifurukutu

    Je, agizo la Rais Samia Suluhu kufuta kesi zisizo za msingi limepuuzwa?

    Habari JF, Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali Tangu agizo hilo litolewe haijasikika kesi yoyote ile iliyoshughulikiwa na kufutwa kama rais alivyoagiza Itakumbukwa, awamu iliyopita...
  16. Binadamu Mtakatifu

    Msaada! Kufuta namba contact

    Habari! 🖐️ Natumai mu wazima nimepata matatizo ya kushindwa kufuta majina hasa yanayo nambia read-only contact from whatsapp naomba msaada kwa yeyote anayejua kwani hunikera sana sio siri nahitaji kuyaondoa nipo nasubiri majibu yenu yakiugwana 🤝🤝🤝
  17. Shadow7

    Dkt. Faustine Ndugulile: Mafundi simu wenye tabia ya kufuta namba ya IMEI kuchukuliwa hatua

    Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua kali mafundi simu wote wenye tabia za kufuta namba ya kipekee inayotambulisha simu husika (IMEI) wanapopelekewa simu na wateja wao kwa ajili ya matengenezo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine...
  18. Sky Eclat

    Kufuta namba ya simu ya marehemu inauma sana

    Awe mume, mke, mtoto, mzazi babu au bibi hata rafiki au mpenzi. Marehemu akisha kufa inauma sana kufuta namba zake za simu. Wakati ule wa simu za mezani za Shirika la Posta na Simu, jirani zetu walifiwa na mama yao ambae ndiye alikua na akaunti ya simu. Walikaa miaka mingi wakilipa ankara...
  19. dvj nasmiletz

    Je, kuna software ya kufuta mafaili yaliyojirudiarudia ktk computer kwa pamoja?

    Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti. Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
  20. Wakusoma 12

    Sikubaliani na suala la kufuta sherehe za Nanenane mwaka huu 2021

    Wakuu amani iwe nanyi. Hivi Jana tarehe 10 Februari waziri wa kilimo prof Mkenda alitoa msimamo wa Serikali juu ya sharehe za maonesho ya kilimo ya wakulima Nanenane, ambapo alisema kuwa serikali imeamua kufutilia mbali sherehe hizo. Moja ya sababu kuu aliyotoa kiongozi huyo ni pamoja na...
Back
Top Bottom