Napendekeza makapuni ya simu yaweke huduma ya kufuta ujumbe wa meseji (text) zilizokosewa; mfano ndani ya sekunde 15 au pengine kabla haujasomwa.
Nimependekeza hivi baada ya kuona watu wanavyo pata wakati mgumu pale wametuma meseji kwa makosa; mf:
Mtu huweza kukosea na kumtumia bosi wake...
Nakumbuka mwaka 1998 kulikuwa na sakata la kuvuja kwa mitihani ya NECTA.
Mitihani ilianza Siku ya Jumatatu kwa kuanza na hesabu sikuwa nazijua kabisa na sikuzipenda.nilijiamini kupita kiasi kwakuwa nilikuwa na majibu toka nje na kila mwanafunzi alipata mitihani ile na ilikuwa yenyewe kweli...
Saudi Arabia imechapisha upya vitabu vyote vya shule za nchi hiyo na kuondoa vipengele vilivyokuwa vikiwataja kwa ubaya Wayahudi pamoja na Wakristo. Baadhi ya vipengele hivyo ni kama vile utabiri wa kuzuka vita hapo baadae ambapo waislamu watawapiga vibaya mayahudi na kuwashinda. Kipengele...
SERIKALI KUFUTA USHIRIKA WA G32 NI NJIA SAHIHI YA KUFUFUA USHIRIKA WA KNCU MKOANI KILIMANJARO?
Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku naomba niwaletee yanayojiri Mkoani kwangu kuhusu masuala ya Ushirika ambao ilikuwa na mchango mkubwa sana wa kiuchumi wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Hivi karibuni...
Nacheck hapa matokeo ya uchaguzi wa Tanzania, yaani upinzani umefutwa rasmi, mpaka sasa hawana mbunge hata mmoja aliyefaulu kwenye pembe zote za nchi aliyegombea kwa tiketi ya chama cha upinzani, ni mwendo wa CCM kote kote, kijani kwa kwenda mbele.
Kwa kifupi bunge litafurika wabunge wa mlengo...
Mara pap imetokea msako au ukaguzi tu wa kushtukiza katika simu yako..na ukapata sekunde chache kabla hujapokonywa simu yako kwa ajili ya huo ukaguzi...
Ili kulinda status yako/siri zako utafuta vitu gani kwa fasta fasta?
Meseji?
Xvideo?
Picha?
Namba za simu?
Social networks?
Betting apps?
Au...
NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA"
KYELA- MBEYA
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/...
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni...
BUSEGA- SIMIYU
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/ au zaidi kwa mwezi) imeongezeka toka watu milioni 12.3 mwaka 2011 na kufikia watu milioni...
Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sixty Nyahoza, amevitaka vyama hivyo
amesema kuwa Ofisi yake haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa ila ana uwezo wa kukisimamisha usajili hivyo kuzuia kampeni zake.
Chanzo: Radio one stereo
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ADC, Queen Cuthbert Sendiga ameendeleza Kampeni jijini Dar ambapo Septemba 27 alitembelea soko la Stereo Temeke na kuongea na wafanyabiashara
Amewaahidi wafanyabiashara hao kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko kwa wafanyabiashara...
Mgombea UMD kufuta vitambulisho vya taifa
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa.
Alisema hayo juzi wakati wa...
Hii hoja ya kufuta sheria kandamizi zinazonyima watu dhamana Ni yakuungwa mkono na kila MTANZANIA, wapo Wana CCM inawaumiza na kuwanyamazisha, wapo wapinzani na wapo wafanyabiashara ambao leo CCM ikitaka ikufilisi inakupeleka mahakaman kwa makosa yakusadikika na hatma yake unaozea jela bila kesi...
Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short...
JE, WAKATI UMEFIKA WA MISIKITI KUGEUZWA SUNDAY-SCHOOL NA GWAJIMA?
Na, Robert Heriel
Miaka mitano nyuma, naam mwaka 2015 Gwajima alionyesha dhamira yake na ndoto yake kubwa ambayo alitanabaisha kuwa anatamani Misikiti kuwa Sunday- School za watoto wa Kikristo, pamoja na masheikh na maimamu...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye baada ya kuona siyo rahisi kuondoa rushwa kwenye uchaguzi ndani ya CCM aliipa jina jipya na zuri la Takrima.
Watu wakapiga sana kelele lakini ndio hivyo hadi leo huwezi kushinda uchaguzi CCM bila kutoa takrima.
Mgombea...
Baada ya kifo cha George Foyd nchini Marekani kumezua maandamo katika majimbo mbali nchini Marekani. Huku maelfu kwa maelfu wakiandamana kupinga vitendo hivyo nchini Marekani.
Mwitikio kufuatia tukio Hilo nchi mbali za ulaya zikiwa zimeguswa na hatimae kuanza maandamo na zenyewe.
Maandamo...
Tanzania ukiwa mwanasiasa wa chama cha upinzani unajeuka kuwa adui wa chama tawala na dola.
Wapinzani wananyanyasika, wanatekwa, wanafunguliwa kesi nzito nzito, wanafungwa jela na wengine kupoteza maisha.
Ni budget ya shilingi ngapi/au ni utaratibu gani unahitajika kufuta mfumo wa vyama vingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.