Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇
Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
Habari za mchana wana JF,
Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi?
#UziTayari
1. Soma kwa uangalifu(Attention).
Saa moja ya kusoma kwa umakini ni bora kuliko kusoma kwa saa nne kwa kukengeusha fikra nyingi.
2. Kaa mkao mzuri wa mwili.
Mkao wako huathiri jinsi unavyohisi. Mkao wa uvivu hautaongoza kwa akili yako kuzingatia unachokisoma.
3. Fafanua unachokisoma.
Ikiwa...
RC MAKALLA: DSM IMEFANYA VIZURI MKATABA WA LISHE.
- Awapongeza Maafisa Lishe kwa kufuta rekodi mbaya ya lishe iliyokuwepo.
- Awaelekeza Wakurugenzi kuwawezesha Maafisa Lishe kutekeleza Majukumu yao na kutoa fedha kwa wakati.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla amewaelekeza...
Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu'
"Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015.
😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako...
Kuna waraka umetolewa na Wizara ya Afya, ukitoa taarifa kwamba kuanzia tarehe 01 Juni 2022 hatua kwa hatua kutasitishwa matumizi ya form 2c. Form 2c ni fomu inayotumika na hospitali zinazohudumia wagonjwa wa NHIF kujaza dawa zisizokuwepo hospitali, ili mgonjwa au ndugu wa mgonjwa akachukue dawa...
Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS.
Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha download kilichowekwa ndani ya miezi 12 nazo zitakuwa kwenye hatari ya kuondolewa kwenye duka la app.
Kwa...
Habari za jioni wadau.
Napenda kufahamu hivi ni kwanini kampuni za betting mtu akishafungua akaunti inakua haiwezekani tena kuifuta yaani hawana kabisa sehemu ya iwapo mtu amekoma kwa kuliwa pesa basi afute akaunti ajishughulishe na mambo mengine.
Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha umma kuwa imefuta NGOs 29 kuanzia Aprili 22, 2022 kama ifuatavyo;
Source: Malunde
Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa.
60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
Salaam wakuu
Miaka michache iliyopita nilipitia mambo mengi kwenye ndoa ambayo nikiri kuwa hayakuwa mazuri kwa ukuaji wa watoto wetu kisaikolojia.
Watoto walishuhudia nikipigwa mara nyingi sana, nikitukanwa au kusemwa vibaya. Na hata kuna wakati ugomvi ukitokea chumbani walikuwa wanakuja...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu anayeishi uhamishoni Ubelgiji ameeleza azma yake ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote.
Lissu alisema hayo katika mahojiano maalum na VOA baada ya kukutana na rais wa Tanzania Samia suluhu mjini Brussels Jumanne.
Akizungumzia...
Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa:
"40. Dismissal of charge
At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"...
Kumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo.
Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali Martin Maranja Masese amesema nanukuu
" Leo kunaweza kuwa na Habari Njema wote tukasome Wagalatia...
Hivi karibuni Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Chifu Mkuu Hangaya. Pia leo akiwa Moshi anesema Serikali itashirikiana na Machifu na Viongozi wa jadi. Tawala za Machifu zilipata kuwepo hapo zamani kabla ya kuvunjwa mwaka 1962. Je ni sababu gani ilipelekea kuvunjwa kwa Tawala...
Kazi Bunge nikuisimamia Serikali iliyopo madarakani itende Kwa maslahi ya Taifa. Kazi hii imegeuka siyo main objective tena bali lengo kuu la bunge lililopo chini ya uongozi wa sasa na ujao nikushirikiana na Serikali. Kushirikiria maana rahisi nikutengeneza pertnership na kwenye partnership...
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.
Hata case ya Mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute...
Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp.
Mtandao wa WhatsApp kufanya maboresho na kuruhusu kiongozi wa kikundi (Group Admin) uwezo wa kufuta jumbe kwenye kikundi.
Hivyo group Admin atakuwa na uwezo wa kudhibiti mijadala kwenye group boresho hili WhatsApp wamepanga...
Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.
Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.