Nacheck hapa matokeo ya uchaguzi wa Tanzania, yaani upinzani umefutwa rasmi, mpaka sasa hawana mbunge hata mmoja aliyefaulu kwenye pembe zote za nchi aliyegombea kwa tiketi ya chama cha upinzani, ni mwendo wa CCM kote kote, kijani kwa kwenda mbele.
Kwa kifupi bunge litafurika wabunge wa mlengo...