kufuturisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita imevunja record ya kufuturisha inaonekana ni Sehemu ya ilani ya CCM

    Hello. Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha. Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama. Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
  2. JamiiForums Tanzania Wanafuturishana matajiri tu, nani anakumbuka kuwapa riziki ya futari masikini?

    Umekuja fashion ya kufuturisha Wanaalikana matajiri tu Yaani Rais anafutarisha labda Mawaziri tu na watu maarufu wakiwamo watu wa Imani zingine ambao hawafungi Kuna watoto yatima,.wazee, na waliowahitaji hasa Yaani anafuturisha wasio wahitaji Dini inasemaje kuhusu kufuturisha wasio funga na...
  3. JamiiForums Tanzania Mashindano ya kufuturisha: Waislam are you happy?

    Kila ukigeuka huku unakuta waislam wanafuturishwa. Na huku wanasema kesho watafututisha. Ni kama mashindano fulani hivi au kuna maagizo kutoka ngazi za juu kila taasisi ifuturushe? Nakuja kwa upande wa waislamu, mko happy kufuturishwa? Je nyinyi ni wahitaji? Kwa nini ufuturishwe? Mbaya zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwezi wa Ramadhan umegeuzwa kuwa mtaji wa wanasiasa wa CCM, hongo ya kufuturisha imevuka mipaka sasa

    Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye kapu moja, ni kuhonga futari tu kwa kwenda mbele. Haijalishi mtia nia ni muislamu au sio muislam, ni...
  5. JamiiForums Tanzania Wakristo kufuturisha waislamu badala ya wakristo wenzao mwezi huu wa kwaresma inafikirisha sana

    Wakristo kufuturisha waislamu badala ya wakristo wenzao mwezi huu wa kwaresma inafikirisha sana. Mfano mama Janeth Magufuli aliandaa futari maalum kwa waislamu wanaoishi chato hali ya kuwa yeye ni mkristo na wakristo wenzake nao wapo kwenye mfungo kama waislamu. Sasa je hii ni ishara tosha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songwe: DC Mbega afuturisha viongozi na makundi mbalimbali

    DC MBEGA AFUTURISHA VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI YA KIJAMII WILAYA YA MBOZI Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amefuturisha viongozi pamoja na makundi mbalimbali ya kijamii huku akitoa rai kwa wananchi kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja na kutenda matendo mema kama wanavyotenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…