kuinusuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  2. Benson Kigaila ndie kiongozi pekee wa kizalendo CHADEMA atakayeidhibiti na kuinusuru CHADEMA

    Amefanya kazi nzuri sana pale BAZECHA na anaendelea kufanya kazi nzuri zaidi pale BAVICHA. Ni matumaini ya kila mwanachadema mzalendo kwamba, the field marshal matonya engr. Benson Kigaila hatakosea BAWACHA na kamati kuu kama kawaida yake, and the mission will be successful completed. kibaraka...
  3. M

    Pre GE2025 Nashauri Kanisa liingilie kati kuinusuru CHADEMA

    Huu ndio ushauri wangu Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani...
  4. M

    TEC, BAKWATA na CCT saidieni kuinusuru Nchi hii.

    Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana ni hatari tupu. Mambo ya ovyo yalifanyika wakati wa uandikishaji, uchukuaji fomu za kugombea, urudishaji fomu, uapishaji mawakala, kabla, wakati na baada ya uchaguzi ni viini macho vitupu. Ndugu zangu viongozi wa Dini, nafikiri sasa ni wakati wa...
  5. S

    CHADEMA, ACT Wazalendo, wana nia nzuri sana na nchi yetu, tatizo liko kwa CCM na Watanzania, hivyo wanapaswa kubadili mbinu za kuinusuru Tanzania

    Bila kuwa mwanachama wa Chadema au ACT Wazalendo, nakiri kwamba Chadema, hawa kina Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Mbowe, na wakati fulani kina Msigwa, Dr. Slaa, Mtikila, Mrema, Dr. Kaborou na wengine, siku zote wamekuwa na nia nzuri sana na nchi yetu. Sina shaka juu ya hilo. Sasa tatizo ni kwamba...
  6. Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  7. Wachawi na waganga wote wakutana usiku huu kuinusuru Geita Gold isishuke daraja

    Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara. Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone Azam ama zao ana zetu
  8. Kuinusuru Simba SC, inapaswa kuundwa kamati ya mpito!

    Wakuu, Kwa ufupi ili kuinusuru hii timu ni muhimu haraka sana iundwe kamati ya mpito kusimamia timu kumaliza ligi kwa heshima. Kamati ndogo itayofanya kazi na muwekezaji kwa karibu pamoja na benchi la ufundi. Hii kamati iundwe na wachezaji wa zamani wa Simba na viongozi wenye heshima kwenye...
  9. Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  10. H

    SoC03 Mimi na mama tutaizuru dunia kuinusuru Tanzania

    Mtembea bure si sawa na mkaa bure, kutembea nako ni kusoma na lengo la kusoma ni kupata maarifa,ujuzi,mbinu na mikakati kubadili hasi kuwa chanya. Nami nimeaandaa safari hii tukasome yote yaliyo mazuri ulimwenguni ikisha turudi majumbani tukiwa wapya wa fikra na kubadili mitazamo yetu kwa kesho...
  11. T

    Mkesha wa maombi JF kuinusuru Bandari yetu isiuzwe

    Ngugu wana JF kama mnavyojua kesho ndio kesho, kama wabunge wataridhia mapendekezo ya Mkataba kati ya TZD na Dubai kuhusu ustawishaji wa bandari, maziwa etc. basi hiyo ndio rasilimali zetu hizo ndio hazitorudi tena mpaka mwisho wa ulimwengu huu. Yaani miaka elfu moja baadae sisi tutakaojulikana...
  12. Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

    Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika...
  13. Kwanini tunahitaji kuajiri wataalamu wa uhifadhi wa jamii, ili kuinusuru mifuko ya hifadhi ya jamii kufa?

    - Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa elimu hii ngazi ya Astashahada na stashahada, na INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT wakitoa elimu hii ngazi...
  14. Ili kuinusuru Simba kwa Sasa, Kagere anatakiwa awe anaanza kucheza na kikosi Cha kwanza

    Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao, hasa hasa presha inapokuwa kubwa mbele. Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
  15. L

    Ripoti kuhusu mabadiliko ya tabia nchi yasema juhudi zikiwa endelevu tunaweza kuinusuru dunia

    Ripoti iliyotolewa Agosti 9 na jopo la kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (IPCC), imetoa tahadhari kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanayoendelea kutokea duniani yanaweza kuchukua maelfu ya miaka kurudi katika hali ya kawaida. Lakini pia ripoti hiyo hiyo imetoa matumaini kuwa kama juhudi za...
  16. Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?

    π™·πšŠπš‹πšŠπš›πš’πš—πš’ 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! π™Όπš’πšŽπš£πš’ πš”πšŠπšπš‘πšŠπšŠ πš’πš•πš’πš’πš˜πš™πš’πšπšŠ πš πšŠπš πšŠπš”πš’πš•πš’πšœπš‘πš’ 𝚠𝚊 πš”πšŠπš–πš™πšžπš—πš’ 𝚒𝚊 πš‚π™Ύπ™½π™Άπ™°πš‚ πš πšŠπš•πš’πš”πšžπšπšŠπš—πšŠ πš—πšŠ πš”πšžπšπšŠπš—πš’πšŠ πš–πšŠπš£πšžπš—πšπšžπš–πš£πš˜ πš—πšŠ π™±πšŠπš•πš˜πš£πš’ 𝚠𝚊 πš„πš‚π™° πš—πšŒπš‘πš’πš—πš’ πšƒπ™°π™½πš‰π™°π™½π™Έπ™° πš‘πšžπš”πšž πš’πš”πš’πšπšŠπš’πš πšŠ πš”πšžπš πšŠ πš‚π™Ύπ™½π™Άπ™°πš‚ πš–πš”πšŠπšπšŠπš‹πšŠ 𝚠𝚊𝚘 πš πšŠπš”πšžπš’πšžπš£πš’πšŠ πšžπš–πšŽπš–πšŽ πšƒπšŠπš—πšŽπšœπšŒπš˜ πšžπšπšŠπšπš’πš”πš’πšŠ πš–πš πš’πšœπš‘πš˜ πš–πš πšŠπš”πšŠ 2024, π™ΌπšπšŠπšž πšŠπš•πš’πš—πš’πš™πšŽπš—πš’πšŽπš£πšŽπšŠ πš‘πšŠπš‹πšŠπš›πš’ πš”πšžπš πšŠ πš–πšŠπš£πšžπš—πšπšžπš–πš£πš˜ 𝚒𝚊 πš”πšžπš˜πš—πšπšŽπš£πšŠ πš–πš”πšŠπšπšŠπš‹πšŠ πš”πšŠπšπš’...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…