Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa.
Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari chadema, wakapumzishwa kidogo uongozini ili hatimae mawazo mapya na fikra mbadala zichukue nafasi chadema, kwakuwa hivi sasa hao ndio changamoto, na hawana jipya tena uongozini, zaidi ya kuoneana wivu, kuviziana na kuumbuana tu, na hata ufanyaji kazi wao wa kimazoea umepelekea kua kiini cha migogoro na changamoto zinayoendelea ndani ya chama hicho ikiwa ni pamoja na usaliti, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa manufaa binafsi.
Otherwise,
chadema itaendelea kughubikwa na migogoro ya kisiasa, kijamii na kiuchumi isiyokoma na kuhatarisha uimara wa chama, uhai na maisha ya pande zitakazokua zinahasimiana na kuzozana kwa maneno na huenda hata kufikia hali ya kukaribisha Chacha Wangwe Eraz.
Una maoni gani kuhusiana na hoja hii mahususi?🐒
Mungu Ibariki Tanzania