Kuinusuru CHADEMA kisiasa, Heche, Lema na Sugu wabanduliwe uongozini ili kukipa chama pumzi na uelekeo mpya kisiasa

Kuinusuru CHADEMA kisiasa, Heche, Lema na Sugu wabanduliwe uongozini ili kukipa chama pumzi na uelekeo mpya kisiasa

Kwanza declare kwamba wewe ni no sisiyemu kindakindaki.

Pili declare kwamba uongozi uliopo unawanyimeni usingizi
Gentleman,
nawajibika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu. Na nina haki na uhuru kwa mujibu wa katiba kukosoa, kupendeza au kushauri mambo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye taasisi yoyote ile ya umma kadiri ninavyoona inafaa?

Gentleman,
au kuna makosa mtaalamu mwandamizi kushauri kitaalamu kwenye masuala ya taaluma yake?

in fact,
hoja mahususi mezani ni ushauri wangu mujarabu kunusuru moto wa kuni mbichi unaowaka ndani ya chadema taifa 🐒
 
Shida kubwa ya chadema ni kuamini wapo smart kwa 100% which are wrong. Pia kuamini wanaweza kuleta mageuzi nchi hii wao kama wao tu,, Imani kwamba kuanzia juu ni rahisi huku kukosa akili wanatakiwa kuanza chini kabisa kujenga na kuvuna wananchi... Waache kula michangooooo
ushauri na mapendekezo mujarabu sana haya gentleman,

well done 🤝👊
 
Kuinusuru Tanzania lazima Samia aondolewe, ili nchi ipumue, ijenge uchumi, ijijenge kidplomasia, ipate misaada ya kijamii, utekaji upungue, tupate katiba mpya.
Mbona unageuza mada ? Hizo chuki zako za kipumbavu na kijinga dhidi ya viongozi wa nchi hazitokusaidia.
 
gentleman,
kwa Neema na Baraka za Mungu siwezi kuchelewa wala kuwahi kokote kule ila nipo na nitakuepo kwa wakati muafaka ninapostahili.

Kwani kuna changamoto yoyote mahali gentleman?🐒
Changamoto ni kwamba hata upepo,huoni mwelekeo!
 
Mbona unageuza mada ? Hizo chuki zako za kipumbavu na kijinga dhidi ya viongozi wa nchi hazitokusaidia.
asante ndugu mdau kwa kumpa za usu za ukweli huyo muungwana 🤝👊
 
LEMA NILIMUHESHI SANA ILA NILIVYOONA ANACHEZEACHEZEA MBWA WAKE NA AMEKAA AMEWEKA NA WIMBO NIKAJUA CHADEMA KWISHA HABARI YAKE. NI SWALA LA MUDA TU,
 
Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa.

Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari chadema, wakapumzishwa kidogo uongozini ili hatimae mawazo mapya na fikra mbadala zichukue nafasi chadema, kwakuwa hivi sasa hao ndio changamoto, na hawana jipya tena uongozini, zaidi ya kuoneana wivu, kuviziana na kuumbuana tu, na hata ufanyaji kazi wao wa kimazoea umepelekea kua kiini cha migogoro na changamoto zinayoendelea ndani ya chama hicho ikiwa ni pamoja na usaliti, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa manufaa binafsi.

Otherwise,
chadema itaendelea kughubikwa na migogoro ya kisiasa, kijamii na kiuchumi isiyokoma na kuhatarisha uimara wa chama, uhai na maisha ya pande zitakazokua zinahasimiana na kuzozana kwa maneno na huenda hata kufikia hali ya kukaribisha Chacha Wangwe Eraz.

Una maoni gani kuhusiana na hoja hii mahususi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Okay Mbowe, Mwalimu na Yericko Nyerere warudishwe kwenye uongozi.
Au kama vipi msajili wa vyama vya siasa afanye kama alivyofanya CUF kwa kumtoa Lipumba.
 
Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa.

Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari chadema, wakapumzishwa kidogo uongozini ili hatimae mawazo mapya na fikra mbadala zichukue nafasi chadema, kwakuwa hivi sasa hao ndio changamoto, na hawana jipya tena uongozini, zaidi ya kuoneana wivu, kuviziana na kuumbuana tu, na hata ufanyaji kazi wao wa kimazoea umepelekea kua kiini cha migogoro na changamoto zinayoendelea ndani ya chama hicho ikiwa ni pamoja na usaliti, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa manufaa binafsi.

Otherwise,
chadema itaendelea kughubikwa na migogoro ya kisiasa, kijamii na kiuchumi isiyokoma na kuhatarisha uimara wa chama, uhai na maisha ya pande zitakazokua zinahasimiana na kuzozana kwa maneno na huenda hata kufikia hali ya kukaribisha Chacha Wangwe Eraz.

Una maoni gani kuhusiana na hoja hii mahususi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Peleka uharo wako lumumba buku7fc huku kiumeni huwezi
 
Back
Top Bottom