Kuinusuru CHADEMA kisiasa, Heche, Lema na Sugu wabanduliwe uongozini ili kukipa chama pumzi na uelekeo mpya kisiasa

Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa.

Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari chadema, wakapumzishwa kidogo uongozini ili hatimae mawazo mapya na fikra mbadala zichukue nafasi chadema, kwakuwa hivi sasa hao ndio changamoto, na hawana jipya tena uongozini, zaidi ya kuoneana wivu, kuviziana na kuumbuana tu, na hata ufanyaji kazi wao wa kimazoea umepelekea kua kiini cha migogoro na changamoto zinayoendelea ndani ya chama hicho ikiwa ni pamoja na usaliti, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa manufaa binafsi.

Otherwise,
chadema itaendelea kughubikwa na migogoro ya kisiasa, kijamii na kiuchumi isiyokoma na kuhatarisha uimara wa chama, uhai na maisha ya pande zitakazokua zinahasimiana na kuzozana kwa maneno na huenda hata kufikia hali ya kukaribisha Chacha Wangwe Eraz.

Una maoni gani kuhusiana na hoja hii mahususi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ushauri wako ni sawa kabisa na kituko cha shetani kutaka kutoa nasaha kwa waumini wa kweli kuhusu njia sahihi ya kwenda peponi.
 
Chadema shikilieni hapo hapo!

Wpelekeeni moto hawa wauaji na li rais lao hadi yashindwe kutembea
 
ok.
sawa gentleman,
natumai wadau wa Jf wamekuelewa vema.

well done 🐒
 
Chadema shikilieni hapo hapo!

Wpelekeeni moto hawa wauaji na li rais lao hadi yashindwe kutembea
kwahiyo gentleman,
lema achochee kabisa mtroo wa kuni mbichi, na sugu kama kawa ashikilie wallet binafsi ya vice chairman yenye michango ya watu? kwaajili ya chama?🤣
 
Kwamba real figure za CDM ziondoke
kwahiyo gentleman,
hizo tu ndizo real figures za chadema zinazonyukana kwasababu ya kugombania pesa, wengine wote chadema ni manyumbu tu, right?

and why are you building a party based on real figures instead of a certain administrative ideology or philosophy? 🐒
 
mimi sina haja na jirani yoyote gentleman,
ispokua natumia haki na uhuru wangu wa kutoa maoni kwa mujibu wa Katiba kushauri vyama vya siasa na wadau mbalimbali wa kijamii na kiuchumi namna bora ya kujinasua kwenye mikwamo wanayopitia au kukumbana nayo katika kazi zao za kila siku.

mathalani,
hoja yangu mahususi mezani ni ushauri wangu binafsi dhidi ya kinachoendelea ndani ya chadema.

au kuna makosa mtaalamu kushauri kitaaluma kwenye mambo ya taaluma yake?🐒
Sasa hivi watu wameelimika na Dunia ni Kama kijiji,Huwezi kuwahadaa na Hoja za kirofa, gentleman!
 
1000006486.png
 
Tuanze kumbandua mama yenu kwanza zamu zamu watanzania wote.
 
Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa.

Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari chadema, wakapumzishwa kidogo uongozini ili hatimae mawazo mapya na fikra mbadala zichukue nafasi chadema, kwakuwa hivi sasa hao ndio changamoto, na hawana jipya tena uongozini, zaidi ya kuoneana wivu, kuviziana na kuumbuana tu, na hata ufanyaji kazi wao wa kimazoea umepelekea kua kiini cha migogoro na changamoto zinayoendelea ndani ya chama hicho ikiwa ni pamoja na usaliti, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa manufaa binafsi.

Otherwise,
chadema itaendelea kughubikwa na migogoro ya kisiasa, kijamii na kiuchumi isiyokoma na kuhatarisha uimara wa chama, uhai na maisha ya pande zitakazokua zinahasimiana na kuzozana kwa maneno na huenda hata kufikia hali ya kukaribisha Chacha Wangwe Eraz.

Una maoni gani kuhusiana na hoja hii mahususi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ukiona adui anayetamani ufe anakupa ushauri kuwa kitu hakifai achana nacho kitakuua basi hicho kitu king'ang'anie sana kisikuponyoke, it translates kuwa hicho ndiyo kikwazo kwake kinachokulinda asifanikiwe plans zake za kukuua.
 
Sasa hivi watu wameelimika na Dunia ni Kama kijiji,Huwezi kuwahadaa na Hoja za kirofa, gentleman!
kwamba fedha za wachangiaji zikitumika kwa matumizi binafsi wakae kimya tu, right?

but hao vijana,
bado kila moja anajitafuta,
na ndio maana tofauti yao ipo kwenye matumizi ya pesa tu,

na kwamba kuna moja wao anakula vizuri zaidi pesa hizo kuliko wenzake,
In fact, changamoto iko hapo tu 🐒
 
kwahiyo gentleman,
hizo tu ndizo real figures za chadema zinazonyukana kwasababu ya kugombania pesa, wengine wote chadema ni manyumbu tu, right?

and why are you building a party based on real figures instead of a certain administrative ideology or philosophy? 🐒
Vyama vyote vya upinzani Africa ni 1-5 man figure. Ni vyama ambavyo huwa anatokea mtu mmoja ana run shooo anaenda pick kabisa, siku akiyeyuka kila kitu kinaishia hapo. CDM ni Mbiwe, Lisu, Heche, Sugu na Bony. Hio ndio top layer siku ikiondoka yote hio kwa pamoja, ngoma inakua ngumu
 
kwamba fedha za wachangiaji zikitumika kwa matumizi binafsi wakae kimya tu, right?

but hao vijana,
bado kila moja anajitafuta,
na ndio maana tofauti yao ipo kwenye matumizi ya pesa tu,

na kwamba kuna moja wao anakula vizuri zaidi pesa hizo kuliko wenzake,
In fact, changamoto iko hapo tu 🐒
Huu ni uzushi,kubalini Hali ni mbaya Kwa CCM,mjitafakari hata Nebkadneza hakuamini kuwa utawala wake utafikia mwisho!
 
Vyama vyote vya upinzani Africa ni 1-5 man figure. Ni vyama ambavyo huwa anatokea mtu mmoja ana run shooo anaenda pick kabisa, siku akiyeyuka kila kitu kinaishia hapo. CDM ni Mbiwe, Lisu, Heche, Sugu na Bony. Hio ndio top layer siku ikiondoka yote hio kwa pamoja, ngoma inakua ngumu
at least you have impressed me with a very brilliant reply as far as individual party politics in Africa are concerned,

well done gentleman 🤝👊
 
Huu ni uzushi,kubalini Hali ni mbaya Kwa CCM,mjitafakari hata Nebkadneza hakuamini kuwa utawala wake utafikia mwisho!
sawa gentleman,
tuwe wastahilivu na wenye subra tafadhali, let's wait and see sakata hili la ufujaji pesa za chadema litaishia wap 🐒
 
Hao uliowataja ni marijali hawawezi kubanduliwa kama wewe unavyo banduliwa sababu ya buku saba.
kwasababu ya pesa,
wasipobanduliwa na chama chao, ni wazi watabanduana katika mazingira mabaya sana gentleman 🐒
 
CHADEMA inavyoandamwa utasema ni chama tawala.
Sure,
inaandamwa na jinamizi la ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama vibaya mno gentleman?

watachomoka kweli wahusika au wabanduliwe kutuliza hali ya mambo?🐒
 
Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa.

Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari chadema, wakapumzishwa kidogo uongozini ili hatimae mawazo mapya na fikra mbadala zichukue nafasi chadema, kwakuwa hivi sasa hao ndio changamoto, na hawana jipya tena uongozini, zaidi ya kuoneana wivu, kuviziana na kuumbuana tu, na hata ufanyaji kazi wao wa kimazoea umepelekea kua kiini cha migogoro na changamoto zinayoendelea ndani ya chama hicho ikiwa ni pamoja na usaliti, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa manufaa binafsi.

Otherwise,
chadema itaendelea kughubikwa na migogoro ya kisiasa, kijamii na kiuchumi isiyokoma na kuhatarisha uimara wa chama, uhai na maisha ya pande zitakazokua zinahasimiana na kuzozana kwa maneno na huenda hata kufikia hali ya kukaribisha Chacha Wangwe Eraz.

Una maoni gani kuhusiana na hoja hii mahususi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwanza declare kwamba wewe ni no sisiyemu kindakindaki.

Pili declare kwamba uongozi uliopo unawanyimeni usingizi
 
Ndugu yangu tlaahtlaah,umechelewa,ila ni Haki Yako!
gentleman,
kwa Neema na Baraka za Mungu siwezi kuchelewa wala kuwahi kokote kule ila nipo na nitakuepo kwa wakati muafaka ninapostahili.

Kwani kuna changamoto yoyote mahali gentleman?🐒
 
Shida kubwa ya chadema ni kuamini wapo smart kwa 100% which are wrong. Pia kuamini wanaweza kuleta mageuzi nchi hii wao kama wao tu,, Imani kwamba kuanzia juu ni rahisi huku kukosa akili wanatakiwa kuanza chini kabisa kujenga na kuvuna wananchi... Waache kula michangooooo
 
Back
Top Bottom