Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.

Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa mmoja mmoja kisha mbaki ka makondoo yasiyojielewa.

Tokeni mtoe kauli moja kuhusy hali ya kisiasa nchini, la sivyo ukimya wenu ni kitanzi cha kulinyonga Taifa hili.

Simameni mhesabiwe au kaeni chini milele.
 
Kuna namna raia wa nchi hii tumechangia sana ata wale wajasiri, wazalendo kuamua kukaa zao kimya. Wakijitoa muhanga yakiwakuta yakuwakuta utasikia free polpole siku 1, 2 tunasahau tunarukia ya mtoto wa zuchu, kajala bla bla. Mwishoe ata wale wachache wenye uthubutu wanaamua kuuchuna wameona mifano ya watu kama wao yaliyowakuta. Kufika hatua hii hapa ndio hua nasema yule Tundu Lissu ni jabari kweli kweli pamoja na kuswekwa ndan kiuonevu raia hakuna tufanyacho lkn mwanume yule kakomaa tu dhidi ya watesi wake.
 
Mnaposema mambo yanayoenda nchini lakini hamtaki kuyataja au mnasema ufunguzi wa JNHHP na ajira kwa walimu nk?
 
Uoga wao ndio kitanzi chetu Watanganyika.
Wakiangalia yaliyowafika Ndugai .Simbachawene.Makamba.Majaliwa.Mpango na hata Magu wote ni dhahiri waba hofu kubwa kuliko uzalendo kwa Tanganyika.
Kwamba watu hao waliotangulia mbele za haki wameuwawa...daah kwamba viongozi wa serikali wao awafi?
 
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.

Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa mmoja mmoja kisha mbaki ka makondoo yasiyojielewa.

Tokeni mtoe kauli moja kuhusy hali ya kisiasa nchini, la sivyo ukimya wenu ni kitanzi cha kulinyonga Taifa hili.

Simameni mhesabiwe au kaeni chini milele.
1787712981709.jpg
 
KUFELI KWA MO29 ILIKUWA KOSA KUBWA SANA LA KUINUSURU TANGANYIKA YETU KUTOKA KWA VIONGOZI HARAMU WALIOKATALIWA NA WATANGANYIKA.YANATAKIWA YAFANYIKE TENA MAKALI ZAIDI YA ILIVYOKUWA MO29 NDIYO WATIE ADABU HAWA VIONGOZI HARAMU.
 
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.

Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa mmoja mmoja kisha mbaki ka makondoo yasiyojielewa.

Tokeni mtoe kauli moja kuhusy hali ya kisiasa nchini, la sivyo ukimya wenu ni kitanzi cha kulinyonga Taifa hili.

Simameni mhesabiwe au kaeni chini milele.
Je,wanajuana?
 
Kuna namna raia wa nchi hii tumechangia sana ata wale wajasiri, wazalendo kuamua kukaa zao kimya. Wakijitoa muhanga yakiwakuta yakuwakuta utasikia free polpole siku 1, 2 tunasahau tunarukia ya mtoto wa zuchu, kajala bla bla. Mwishoe ata wale wachache wenye uthubutu wanaamua kuuchuna wameona mifano ya watu kama wao yaliyowakuta. Kufika hatua hii hapa ndio hua nasema yule Tundu Lissu ni jabari kweli kweli pamoja na kuswekwa ndan kiuonevu raia hakuna tufanyacho lkn mwanume yule kakomaa tu dhidi ya watesi wake.
Ndiyo naamini CCM kwa makusudi imewafanya Watanzania maskini, wenye njaa ya matumbo na vichwa, ili wabakie.
Haya yameanzwa na Mwalimu!
 
Kuna namna raia wa nchi hii tumechangia sana ata wale wajasiri, wazalendo kuamua kukaa zao kimya. Wakijitoa muhanga yakiwakuta yakuwakuta utasikia free polpole siku 1, 2 tunasahau tunarukia ya mtoto wa zuchu, kajala bla bla. Mwishoe ata wale wachache wenye uthubutu wanaamua kuuchuna wameona mifano ya watu kama wao yaliyowakuta. Kufika hatua hii hapa ndio hua nasema yule Tundu Lissu ni jabari kweli kweli pamoja na kuswekwa ndan kiuonevu raia hakuna tufanyacho lkn mwanume yule kakomaa tu dhidi ya watesi wake.

Wananchi wenyewe wamekuwa brain washed, akitokea mzalendo wanampiga vita, wengine wanavujisha mienendo yao kwa viongoz, wengine wanakuwa hadi chawa, jamii ya mtanzania inahitaji second coming
 
Back
Top Bottom