Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

Chadema vichaa sana,yani leo nyinyi muwe washauri wa CCM??
Pambaneni na hali zenu

Na yule kima lazima apigwe mvua nyingi sana
 
Wananchi wenyewe wamekuwa brain washed, akitokea mzalendo wanampiga vita, wengine wanavujisha mienendo yao kwa viongoz, wengine wanakuwa hadi chawa, jamii ya mtanzania inahitaji second coming
Exactly, wananchi sisi ndio wasaliti wa kwanza kwa wazalendo, wajasiri na wathubutu ndani ya nchi hii. Hakuna dola isiyoogopa nguvu ya umma dunia nzima, hapa kwetu ni tofauti sababu tumetopea katika usingizi wa pono na uoga, unafiki , majungu, uchawa, ubuyu na bla bla nyingi
 
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.

Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa mmoja mmoja kisha mbaki ka makondoo yasiyojielewa.

Tokeni mtoe kauli moja kuhusy hali ya kisiasa nchini, la sivyo ukimya wenu ni kitanzi cha kulinyonga Taifa hili.

Simameni mhesabiwe au kaeni chini milele.
Naunga mkono hoja , watu makini ccm wapo waunganishe nguvu na Chadema ili aya mafisadi yapukutishwe.

Usalama wa wa taifa , na vyombo vingine kuna watu wema na wazalendo kweli kweli lisadieni Taifa uzuri kila mtu atakufa ila kizazi chake kitaishi , ni mda kama Taifa kushikamana hasa kwa wazalendo wa Taifa hili .wahuni hawatakiwi katika mapambano haya
 
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.

Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa mmoja mmoja kisha mbaki ka makondoo yasiyojielewa.

Tokeni mtoe kauli moja kuhusy hali ya kisiasa nchini, la sivyo ukimya wenu ni kitanzi cha kulinyonga Taifa hili.

Simameni mhesabiwe au kaeni chini milele.
Never hakuna mwenye huo uthubutu, wataweka mikia katikati ya miguu yao na kupiga makofi kwa lolote chochote.
 
Back
Top Bottom