Wakuu,
Mimi tangu nianze kuishi mwenyewe nimekuwa nikishindia chai na biskuti. Sipiki kabisa, na kupika ni mpaka nisikie njaa sana hadi natetemeka ndo natafuata jiko liko wapi.
Yaani naweza nikaa siku nzima ndani bila kupika hadi njaa iniume sana
Nyie mmekuwa na tabia gani tangu muanze kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.