Ni tabia gani ya tofauti umeianza baada ya kuishi peke yako?

Ni tabia gani ya tofauti umeianza baada ya kuishi peke yako?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Mimi tangu nianze kuishi mwenyewe nimekuwa nikishindia chai na biskuti. Sipiki kabisa, na kupika ni mpaka nisikie njaa sana hadi natetemeka ndo natafuata jiko liko wapi.

Yaani naweza nikaa siku nzima ndani bila kupika hadi njaa iniume sana

Nyie mmekuwa na tabia gani tangu muanze kuishi peke enu
 
🤣
Hili swali lina mtego,
Mtu usipotulia utajiumbua
 
N bc tuu tabia ya kujibaka nimeanza nayo kitambo tangu tumboni Kwa bimkubwa 😎
 
Video call tu ndio zitanipofusha haya macho_ jana nmekutana na bonge la kichaka alafu li K likubwa_
 
1. Kuangalia EPL kwenye laptop... Siendi bar tena kuangalia mpira...
2. Kununua vinywaji supermaket na kuja kunywa home.
3. Kutokua na marafiki....
4. kufanya kazi mpaka usiku...
5. Mazoezi daily kasoro j2

Kuishi mbali na familia chamgamoto sana.
 
Back
Top Bottom