kujadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraza la Mawaziri wakaa kikao kujadili Miswada na Sera mbalimbali

    Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida cha tatu cha mwaka 2024. Mbali na Uchumi kimejadili na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa katika...
  2. Pre GE2025 CHADEMA kujifungia kwa saa 48 kujadili Azimio la Mtwara

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu. Pia, kikao hicho kitakachohitimishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kitafanya...
  3. SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

    Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza .... Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza...
  4. R

    Marais wa nchi za SADC wakutana kwa dharura kujadili Kipindupindu.

    Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya? Kwamba na umaskini wetu ambao ndio chanzo cha kushindwa kukabiliana na maradhi kama haya tunawasha ndege marais wa SADC...
  5. Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

    Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
  6. Waarabu wakataa ujanja wa US. Waikatalia kujadili yahusuyo baada ya vita vya Gaza.Kinachotakiwa ni kusitishwa kwa vita na kufufuliwa kwa Palestina

    Ile dilomasia ya kinafiki ya Marekani kuwazuga waarabu inazidi kukwama. Mawaziri wa nchi za nje wa jumuiya ya nchi za kiarabu wamemkatalia waziri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kujadiliana nao juu ya namna ya kuiendesha Gaza baada ya vita kumalizika.Mazungumzo ya aina hiyo yamepata vikwazo...
  7. Mbunge ataka Bunge lisitishe shughuli zake kujadili vurugu, watu kupigwa risasi

    Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi. Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo baada ya...
  8. Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

    Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
  9. Uzi maalum wa kujadili uwezo wa viongozi Tanzania

    Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini: Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake Haelewi...
  10. LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  11. Muhimu sana: Tusome na kujadili kuhusu bandari na DP World kwa namna nyingine

    Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
  12. Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  13. Ushahidi huu hapa kuonesha kuwa bunge lilipelekewa kujadili na ili kubariki makubaliano na siyo mkataba

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA Simu: +255 026 23222761-5 Ofisi ya Bunge, Fax No. +255 026 2322624 S.L.P. 941, E-mail: cna@bunge.go.tz DODOMA...
  14. M

    Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

    WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU! Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania! Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
  15. Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  16. Unadhani hii Nguvu Kubwa ya Watanzania Kuijadili DP World ije au isije ingehamishwa Kujadili ya Msingi tungekuwa 'Masikini Tukuka' hadi Leo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu 'Comments' zenu hivyo Karibuni sana.
  17. Wakati tukiendelea kujadili mkataba wa DP World, wanachama wa Chadema tunataka iweke hadharani mkataba wa ununuzi wa jengo la Ofisi

    Mimi mwanachadema, na kwa muda Sasa tunapiga mdomo kuhusu mkataba wa Bandari na DP. Katikati ya mjadala, Kuna jengo limenunuliwa na chama chetu kwa mabilioni. Chama hakijatueleza nani alifanya uthamini wa jengo akapata thamani hiyo, nani katuuzia, fedha imelipwaje, na mkataba wa ununuzi uko...
  18. S

    Subira Mgalu achukuliwe hatua kwa kumshambulia Profesa Tibaijuka bungeni badala ya kujadili Bajeti

    Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
  19. E

    Turufu yetu ya mwisho kujitoa mkataba wa DP World ni kuwakata waliohusika kujadili na kusaini kwa tuhuma za rushwa

    Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele, Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini. Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona. Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
  20. Bunge Hili Batili Lizuiwe Kujadili Chochote Kinachohusu Rasilimali za Taifa

    Kila mtu anajua kabisa kuwa hawa waliopo Bungeni, ni wahalifu, hawakuchaguliwa na wapiga kura. Je, ni halali wahalifu wa kupora haki za wananchi za kuwachagua wawakilishi wao kupitia boksi la kura, kufanya maamuzi juu ya rasilimali za Taifa? Mwizi haachi asili yake. Hawa waliopo bungeni ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…