Mbeya. Kutokana na mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali nchini, Makamu Mwenyekiti was Chama Cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana amesema Chama hicho kimejipanga kufanya kikao mwezi ujao kujadili suala hilo.
Kinana amebainisha hayo leo Julai 28, 2022 baada ya kupokewa na wakazi wa Mkoa wa Mbeya...