Kuna story nishawahi kuzisikia kuhusu Ikulu, kama zina ukweli wowote naomba kujuzwa hapa
1. Ikulu Kuna njia ya chini kwa chini mpaka Makao makuu ya jeshi
2. Wote wanaohusika kwenye ujenzi wa ikulu wakimaliza wote wanauawa wanazikwa getini pale ikulu
We ushaisikia ipi? na je zina ukweli?
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza mazungumzo kwa ajili ya ujenzi wa satelite.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa mradi wa minara ya kurusha matangazo ya Televisheni ardhini (DTT) inayomilikiwa na kampuni ya Azam Media Limited...
Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na kuwaunganisha na fursa za masoko.
Ambapo utekelezaji wa mradi huo ni matokeo ya maagizo na maelekezo ya Mhe...
MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
Ilikuwa ni mwezi february mwaka 2015 raisi Xi alipotangaza maono yake ya kujenga mji mpya mkubwa nchini China. Michoro na mipango yote ikakamilika mwaka 2017 na miaka sita imepita China wamekuja na mradi mkubwa wa kujenga mji mpya kabisa kutoka ardhini yaani "from scratch".
Mji huo utatiwa...
Jamii,ni jumla ya watu wote wanaoishi katika mazingira Fulani ya kijiografia ambao wanaweza kufanana au kutofautiana katika nyanja za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na kiteknolojia.
Kujenga maana yake kutengeneza kitu ambacho kina faida na kutumika kipindi fulani Cha maisha mfano nyumba. Kwa...
Habari za wakati,
Ni matumaini yangu kwamba mu wazima na mnaendelea vyema katika utendaji wa shughuli zako na ujenzi wa nchi.
Leo nimeleta mjadala mfupi kuhusu maneno ambayo tumezoea kuyasikia ambayo ni Venture Capital na Angel Capital.Ukifanya utafiti wa haraka wa google utaona maana ya...
SEKONDARI ZA KATA ZAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina Sekondari za Kata 25 na za Binafsi 2.
Jimbo hili limeamua kujenga Maabara 3 za Masomo ya Sayansi kwenye kila Sekondari ya Kata. Maabara hizo ni za Physics, Chemistry & Biology...
Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amesema Serikali imetoa fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 567 kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara yenye jumla ya urefu wa Kilometa 420 zinazojengwa kwa kiwango cha lami kwa wakati mmoja mkoani hapo.
Amesema: “Hiki kinachofanywa na...
Mhandisi Musa Kaswahili ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro anasema: "Machi 03, 2020 daraja lililokuwepo katika eneo la Kiyegeya lilibomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara hii muhimu ya kitaifa na kimataifa (Morogoro - Dodoma) kujifunga.
"Serikali...
Usiache kujenga ukiwa na nafasi iyo ila usiache kuishi ili ujenge, kuwa na kwako ni muhimu sana tena sana..
Pia biashara ya nyumba ni ya matajiri coz return yake inachukua muda mrefu mnoo na usijenge kutoa mkosi jipange have you're dream house.
Ninakubali kwamba kuwa na nafasi yako ni muhimu...
Umeshajiuliza waliowahi kupata viwanja kariakoo Sasa Wanaishi kama wafalme, mnaziona zile slums ambazo zipo Buguruni, Manzese zote ni hela ndefu jaribu kumuamisha mtu uone bei utakayo pewa.
Jiji la Dar es Salaam kama vile limeshajaa tu, Ukiwa na kipato kidogo jiandae kujenga kibaha kwa Mathias...
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Aloyce Kwezi ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Hassan Suluhu kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.162 kwa ajili ya ujenzi wa shule za Msingi 4 katika Jimbo la kaliua.
Mhe. Kwezi amezitaja Shule hizo...
Kipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu.
Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani...
Watanzania na Waafrica kwa ujumla tunapenda vitu vizuri na vipya. Mimi naishi Texas, USA na nataka kuwajulisha reli zenye manufaa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni reli za kizamani "metre gauge railway" na sio "Standard Gauge Railway" za umeme.
Hizi reli za kizamani ndizo zinasafirisha...
Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana.
Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
Kama kijana kuna wakati unapaswa kuutumia vizuri maana muda haumsubiri mtu, na muda ni rasilimali tosha.
Niende kwenye hoja saidizi.
1- Jitahidi kuwa Mchaguzi (selective)
Uchaguzi wa Vyakula + Vinywaji
Uchaguzi wa Mavazi
Uchaguzi wa Marafiki
Uchaguzi wa Mtu utakayekuwa nae ktk Mahusiano...
Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita.
Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.