Habari wakuu.
Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo)
Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita)
Tofali za Boma = 5015
Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc
Nime’attach picha yenye...
Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk
Tungerekebisha miji yetu ya...
Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika.
Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi .
Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials yanayohitajika na gharama zake ili kuepuka kuingia gharama na kuibiwa na mafundi au kununua material...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka
Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
- Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake
- Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
===
Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki,
Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima?
Hebu jiulize...
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.
Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
HOSPITALI ya Aga Khan, Dar es Salaam, imezindua rasmi ujenzi wa Kituo chake cha kisasa cha Tiba ya Saratani kitakachonufaisha hadi watu milioni 1.7 katika mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza.
Kituo hicho kitakachojengwa katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, kitapokea hadi wagonjwa 125...
Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania.
Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe.
Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia.
Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
Habair wanajamii
Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba.
Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani.
Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa.
Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
Habari wakuu,
Kuna kiwanja nimekipenda kiko umbali wa karibu km 2 kutoka kwenye mgodi. Nikiangalia material waliokusanya kwenye huo mgodi naona kabisa kwenye hiki kiwanja kushachimbwa chini kwa chini.
Kama ni kweli kushachimbwa chini kwa chini je ni salama kujenga nyumba kwenye ardhi tabaka...
Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo.
Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.