Habari zenu wana JamiiForums!
Ningependa kupata maoni kwa wadau katika kuchagua eneo la kuishi. Kuna ndugu yangu anataka kujenga kabisa, viwanja anasema vipo poa kapata maeneo haya;
1. Kigamboni (mjimwema, gezaulole, kisiwa)
2. Kimara
3. Mbezi mwisho
4. Kitunda
5. Goba
Hivyo viwanja maeneo...
Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa.
Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu.
Haya huyo...
Habari wanaJF,
Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ?
Ahsanteni.
NATOA HUDUMA ZIFUATAZO KATIKA UJENZI :
KUCHORA RAMANI ZA MAJENGO
KUSIMAMIA UJENZI
KUFANYA MAKADIRIO YA UJENZI
HII NI MOJA YA KAZI ZANGU NILIZOFANYA KUANZIA KUCHORA MPAKA KUSIMAMIA UJENZI ( 0758 614 119 )
NDUGU WATEJA HII MICHORO INAONESHA RAMANI INAVYOPASWA KUWA
NAOMBA TUTAZAME...
Na Pili Mwinyi
Ni miaka tisa sasa tangu rais wa China Xi Jinping atangaze pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” duniani, ambalo mbali na mambo mengine pia linajikita zaidi katika uwekezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu. Pendekezo hili lilitolewa kwa ajili mahsusi ya kuanzisha zama mpya ya...
Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi.
Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama serikali Ina nia nzuri ya kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kubana matumizi basi mahali pa kuanzia...
Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera
Na mwandishi wetu, Kagera
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameishukuru serikali ya China kwa kufanikisha ujenzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
Habari Watanzania,
Baada ya kusoma na kusiliza hoja za waziri wa fedha mheshimiwa Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, naona kama hajaelewa msingi wa manung'uniko au kelele anazozisikia. Naomba kumweleza yafuatayo, manung'uniko ya wananchi si neno kodi au Tozo.
Manung'uniko ni jinsi haya yote...
Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa kutenda mambo mengi kwa sababu bado wapo imara. Lakini ni ukweli pia kwa miaka mingi sasa nchi nyingi...
Mwanamke ni kiumbe kinachoonekana ni dhaifu kwa mawazo yetu lakini shetani akimtizama mwanamke anaona ni mtu makini ambae anaweza kubomoa au kujenga dunia
REFFERENCE (Mwanamke)
1.Aliongea na shetani katika bustani ya Edeni akashawishiwa kula tunda akala akamshawishi na Bwana wake wakala...
Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi
Serikali.
Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
Julai Mosi 2022, katika Kijiji cha Desheng, Mkoani Shaanxi China, Bibi Zou Wenling mwenye umri wa miaka 37 aliyepoteza vidole tisa alipokuwa na umri wa mwaka mmoja anatumia kidole kimoja kudarizi, kulima na kufuga kuku akiwa na tabasamu kukabiliana na maisha magumu.
Kampuni ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (School of Medical Engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini.
Rais wa kampuni hiyo, Bwn...
Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao,
Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA
Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo.
Mambo...
Ndugu zangu, wanasema uchumi mzuri ni ule unao gusa maisha ya watu wengi. Ukimfuatilia vizuri Mh. Rais wetu utagundua kuwa anajenga uchumi wenye kumgusa kila Mtanzania.
Kwanza Mh. Rais ametambua kuwa kilimo ndio sekta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti. Hivyo juhudi zozote...
WAZAZI WAJIKITE KUJENGA MISINGI BORA YA YA MALEZI YA WATOTO WAO.
Kasi ya mabadiliko ya hali ya maisha imekuwa ikitengenisha wazazi na watoto wao hadi kufikia wazazi kukosa muda wa kutosha kukaa au hata kuishi na familia zao kwa muda mrefu katika Dunia ya sasa.
Katika Dunia ya sasa sio jambo la...
Habari wakuu, kwa mwenye mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, mosaic, mable, tangastone na palving stones kwa mitindo wa kisasa na gharama rafiki na hata kwa malipo ya awamu kama huna cash, wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo;
- 0782369491 na
-0654121218 na wasap kwa picha zaidi.
au barua...
Jamaa kafanya jambo kubwa sana huko kwao.
---
Egyptian Liverpool forward Mohamed Salah has donated three million Egyptian pounds ($156,664) to help rebuild a church in Giza where a fire on Sunday killed 41 people and left several others injured.
Social media channels in Egypt were full of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.