Wadau habari zenu,
Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.
Nimeshuhudia wengi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Heche ametoa ahadi hiyo mjini Sengerema leo Jumatatu Novemba 14, baada ya kupokea taarifa ya Katibu wa Chadema jimbo la Sengerema...
Serikali imesema inatambua umuhimu wa nchi kuwa na satelaiti na kwamba katika mwaka huu wa fedha imeanza kuandaa utaratibu wa awali utakaowezesha kuunda na kurusha satelaiti yake angani.
Aidha, imesema ili kuwezesha kufikia azma hiyo tayari imeunda andiko dhana na kuunda timu ya watalaamu...
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.
Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?
Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.
Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la...
Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika ufunguzi wa mkutano huo, Xi Jinping alisema, China daima imeshikilia malengo ya sera yake ya kigeni...
Ni AIBU kwa CHAMA kinachotafuta Ukubwa wa kuwa Chama Kikuu cha Upinzani licha ya kuwa SIO cha UPINZANI kuwahadaa Wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kuwa Kimejenga Jengo lake Wakati WAMEPANGA nyumba ya Mtu.
Kama kwenye Jambo Dogo kama hili la Jengo wanadaganya Je Wakipewa Nchi Watadanganya...
Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
Hii ni kupigana midongo ya nguvu
"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania
Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa...
Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa.
Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
Poleni na mapambano wakuu.
Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo.
Naomba kufahamu uchanganuzi wa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa ameripoti rasmi Wizarani na kulakiwa na Watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe.
Mapokezi hayo yamefanyika tarehe 04 Oktoba, 2022, mbele ya Jengo Kuu eneo la Mtumba. Mara baada ya...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35...
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika...
Manispaa ya Dodoma ilipima viwanja vingi tu katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma hasa baada ya Makao Makuu ya Nchi kuhamishiwa Dodoma. Sio Manispaa tu, bali hata makampuni binafsi yamepima na kuuza viwanja vingi tu.
Maeneo hayo ni pamoja na Mtumba, Nata, Ihumwa, Nzuguni, Michese...
Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu.
Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti...
Ndugu zangu Ni ngumu Sana kuongoza watu walio kata tamaa,walio jaa hasira , wanaolia na kuvuja machozi mioyoni mwao, Ni ngumu kuongoza na kusikilizwa na watu wasioona mbele kwa matumaini, Ni ngumu Taifa kutulia na kuwa lenye amani na mshikamano ikiwa limejaa watu ambao hawajuwi hatima ya maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.