Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimeshajenga msingi tu.
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...