Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha...
Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi.
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida...
Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini.
Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema kuna namna ya kuwawezesha wawekezaji wazawa ikiwemo kuwapa kazi kama za ujenzi wa Reli na Barabara kwani wapo wakandarasi wanaoweza kuzifanya kazi hizo badala ya kutegemea Wakandarasi wa Kampuni za nchi nyingine.
Ameyasema hayo wakati akizungumza katika...
Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu
Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India...
SMZ IMEDHAMIRIA KUJENGA MAKAAZI BORA KWA WANANCHI-RAIS MWINYI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuanzia sasa Serikali itawafidia nyumba bora wananchi wanaotoa maeneo yao kupisha miradi ya maendeleo.
Rais Dk. Mwinyi amefahamisha kuwa...
Mfanyabiashara maarufu nchini Ghalib Said Mohamed ( GSM) akisherehekea Siku yake ya kuzaliwa ametoa tsh million 60 kujengea dispensary ya Kibaigwa wilayani Kongwa mkoani Dodoma ambako ni makao makuu ya Nchi
Source: Ayo TV
Mungu wa Mbinguni mbariki GSM 🌹
Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru
Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo.
Robotic megaport that operates...
DHAMIRA YA SERIKALI NI KUJENGA BARABARA YA NDALA - MWAWAZA KWA KIWANGO CHA LAMI
"Barabara inayotoka Ndala kwenda Mwawaza Manispaa ya Shinyanga palipo na Hospitali ya Rufaa ipo kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 lakini Makamu wa Rais alikuja Shinyanga akatoa ahadi. Ni lini Serikali itaanza ujenzi wa...
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA AFYA KATA YA MTUNDA, KIBITI
"Kata ya Mtunda ni Kata ya kimkakati katika Jimbo la Kibiti ambayo ilikumbwa na mafuriko kipindi kilichopita. Je, nini kauli ya Serikali katika kujenga kituo cha Afya kwa wananchi ambao wamesubiri kwa muda mrefu sana?" - Mhe. Twaha...
Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu.
Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika na Buza japo sina uthibitisho kamili.
Hakuna mradi wowote wa kiserikali kwa sasa na wala haitumiki...
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
CHANZO: AL JAZEERA TV
Habari zenu wakuu
Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu.
Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar
Asante sana
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo.Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jioni ya siku...
BILIONI 11.6 KUJENGA KILOMITA 7.5 BARABARA YA LAMI KATA YA USINGE - KALIUA
Serikali imetoa Shilingi Bilioni 11.6 kwaajili ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami yenye Kilomita 7.5 inayoendelea kujengwa katika Kata ya Usinge wilayani Kaliua.
Jumla ya kilometa 7.5 ambazo zimegharimu takribani...
MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua.
Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...